Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,234
Tiptop kumechangamka
Achia sura mkuu.
Kila mtu unamtamaniUwa sina mambo mengi kabisa hadi leo nabaki najiuliza kwann Mtakatifu kaniacha[emoji21] labda sababu ni Jack Daniels
Ahsante!Achia sura mkuu.
Una body nzuri ,hongera.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Body ya makaratasi inajulikana[emoji23]Ahsante!
Kiukweli nimejazia makaratasi kwa ajili ya pozi la picha!! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
Oya oya kaa ukijua starehe gharamaNi aina mojawapo ya starehe tu
Kuna pombe huko nimeandaliwa na ISO M.CodD inaitwa smith nini nini sijui ice off.Mtakatifu anywe pombe??
Nakuona nakuona ustadh [emoji16][emoji16]
Smart wapi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mbna mtu smart sana? Au mie ndo sijui?
Jack Palladino hebu eleza hapa kwan [emoji23][emoji23][emoji23]
Kawaida hiyo.Kna mwanafunz alikula boom lote sku 1 club, itakua alinunua hizo Jack Daniels
Dunia mbaya hii acha tu[emoji23][emoji23]Yaan nmeshtuka sana mno, [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Ewaaaaah [emoji7][emoji7][emoji7]
Hebu muambie akuje nimuone sasa.
Nilikuwa hapo sijakuona[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sura utaikuta ukija! Ngoja nimalize kuongea na kaka yakoBody ya makaratasi inajulikana[emoji23]
Ongeza sura basi tufaidi
Haha kumbe na wewe uko kama mimi? Mimi nikiwa napiga picha eneo fulani lazima nipige angle zote kulia, kushoto, mbele na nyuma utafikiri navuka barabara!