Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Dec 13, 2021 #123,821 oi oi oi
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 13, 2021 #123,822 Saint Anne said: Bebe wake nimechangamsha naye damu mwaka mzima hadi nimekinai Nikimtaka namrudisha tu. Click to expand... My gode
Saint Anne said: Bebe wake nimechangamsha naye damu mwaka mzima hadi nimekinai Nikimtaka namrudisha tu. Click to expand... My gode
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 13, 2021 #123,823 cocastic said: $hos kimasikhara kuna ubuyu pambee huko, full kucheka. Lol Click to expand... Kwanzia page ya ngapi?
cocastic said: $hos kimasikhara kuna ubuyu pambee huko, full kucheka. Lol Click to expand... Kwanzia page ya ngapi?
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 13, 2021 #123,824 mahondaw said: Ngoja niwasaidie Valentina Click to expand... Abee
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Dec 13, 2021 #123,825 warembo wekeni picha, tufurahie disemba
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 13, 2021 #123,826 Pep said: Hakuna mfano namna naku miss mama mtumishi. Mimi pia sikwenda. Majukumu yalinizidi nguvu kama unavoweza kuona hapa. Jitahidi katikati ya wiki uende walau kwenye fellowshipView attachment 2042540 Click to expand... Muda pekee nilionao kwenda katikati ya wiki ni alfajiri sana. Nitajitahidi nihudhurie Mimi jana mvua imenirudisha. Usipotee sana baba mtumishi, Hadi nakutafuta hivi jamani! Nasubiri selfie yako baba ukiwa mwenyewe
Pep said: Hakuna mfano namna naku miss mama mtumishi. Mimi pia sikwenda. Majukumu yalinizidi nguvu kama unavoweza kuona hapa. Jitahidi katikati ya wiki uende walau kwenye fellowshipView attachment 2042540 Click to expand... Muda pekee nilionao kwenda katikati ya wiki ni alfajiri sana. Nitajitahidi nihudhurie Mimi jana mvua imenirudisha. Usipotee sana baba mtumishi, Hadi nakutafuta hivi jamani! Nasubiri selfie yako baba ukiwa mwenyewe
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Dec 13, 2021 #123,827 mtu chake said: oi oi oi Click to expand... Oi
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 13, 2021 #123,828 Pep said: Mama mtumishi ana mwandiko mzuri kama yeye Huwa nabarikiwa sana kuiskiliza hii katika meditations zangu za hapa na pale Click to expand... Nimebarikiwa Naomba nione mwandiko wako baba mtumishi
Pep said: Mama mtumishi ana mwandiko mzuri kama yeye Huwa nabarikiwa sana kuiskiliza hii katika meditations zangu za hapa na pale Click to expand... Nimebarikiwa Naomba nione mwandiko wako baba mtumishi
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 13, 2021 #123,829 Post M-alone said: View attachment 2042546 Tushindane kuandikia mkono tofauti, mi ni right nimeandika kwa left. NB, message kwenye karatasi haiuhusiani na member yeyote wa jf. Twende kazi. Tukimaliza hapo tunakuja kushindana sasa mikono tunayotuniaga. Click to expand... Hahaha sawa Ngoja na mimi niandikie mkono wangu mwingine nione inakuwaje
Post M-alone said: View attachment 2042546 Tushindane kuandikia mkono tofauti, mi ni right nimeandika kwa left. NB, message kwenye karatasi haiuhusiani na member yeyote wa jf. Twende kazi. Tukimaliza hapo tunakuja kushindana sasa mikono tunayotuniaga. Click to expand... Hahaha sawa Ngoja na mimi niandikie mkono wangu mwingine nione inakuwaje
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 13, 2021 #123,830 Pep said: Mama mtumishi ana mwandiko mzuri kama yeye Huwa nabarikiwa sana kuiskiliza hii katika meditations zangu za hapa na pale Click to expand... Baba chukua wimbo huo..NIJAZE Ni wimbo wangu bora zaidi wa muda wote. Siku moja nipeleke anapoabudu huyu mtumishi mwenzetu John Lisu..tukaabudu naye pamoja. Attachments JOHN LISU -NIJAZE (official video)-John Lisu.mp3 JOHN LISU -NIJAZE (official video)-John Lisu.mp3 9.9 MB
Pep said: Mama mtumishi ana mwandiko mzuri kama yeye Huwa nabarikiwa sana kuiskiliza hii katika meditations zangu za hapa na pale Click to expand... Baba chukua wimbo huo..NIJAZE Ni wimbo wangu bora zaidi wa muda wote. Siku moja nipeleke anapoabudu huyu mtumishi mwenzetu John Lisu..tukaabudu naye pamoja.
B I N A M U JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 1,495 Reaction score 2,403 Dec 13, 2021 #123,831 Jiji lenu lina ghorofa chache saanaa Saint Anne said: Hii sasa ni current pic Naona ghorofa la K's likiwa limekamilika. Click to expand...
Jiji lenu lina ghorofa chache saanaa Saint Anne said: Hii sasa ni current pic Naona ghorofa la K's likiwa limekamilika. Click to expand...
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,991 Reaction score 831,561 Dec 13, 2021 Thread starter #123,832 Lizzy said: Treats from Zanzibar ....View attachment 2042313 Click to expand... Remedies
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 13, 2021 #123,833 Binamuyako said: Jiji lenu lina ghorofa chache saanaa Click to expand... Hakuwezi kuwa na ghorofa nyingi kwa sababu ya eneo lenyewe lilivyokaa.
Binamuyako said: Jiji lenu lina ghorofa chache saanaa Click to expand... Hakuwezi kuwa na ghorofa nyingi kwa sababu ya eneo lenyewe lilivyokaa.
B I N A M U JF-Expert Member Joined Apr 7, 2015 Posts 1,495 Reaction score 2,403 Dec 13, 2021 #123,834 Ila maisha yako poa sana green city hulali njaa Saint Anne said: Hakuwezi kuwa na ghorofa nyingi kwa sababu ya eneo lenyewe lilivyokaa. Click to expand...
Ila maisha yako poa sana green city hulali njaa Saint Anne said: Hakuwezi kuwa na ghorofa nyingi kwa sababu ya eneo lenyewe lilivyokaa. Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 13, 2021 #123,835 Binamuyako said: Ila maisha yako poa sana green city hulali njaa Click to expand... Kabisa yaani. Ni mkoa uliobarikiwa kuliko mikoa yote tz.
Binamuyako said: Ila maisha yako poa sana green city hulali njaa Click to expand... Kabisa yaani. Ni mkoa uliobarikiwa kuliko mikoa yote tz.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 72,016 Reaction score 177,325 Dec 13, 2021 #123,836 Post M-alone said: View attachment 2042546 Tushindane kuandikia mkono tofauti, mi ni right nimeandika kwa left. NB, message kwenye karatasi haiuhusiani na member yeyote wa jf. Twende kazi. Tukimaliza hapo tunakuja kushindana sasa mikono tunayotuniaga. Click to expand... Mkuu why me??
Post M-alone said: View attachment 2042546 Tushindane kuandikia mkono tofauti, mi ni right nimeandika kwa left. NB, message kwenye karatasi haiuhusiani na member yeyote wa jf. Twende kazi. Tukimaliza hapo tunakuja kushindana sasa mikono tunayotuniaga. Click to expand... Mkuu why me??
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Dec 13, 2021 #123,837 Pep said: Ikitupendeza 'mioyoni mwetu', pia ikampendeza Bwana...tutaweza kuzurura kwenye hizi chimboView attachment 2042626 Click to expand... Awww Nasubiri kwa hamu baba mtumishi. Nikajua ni utani tu wa ule uzi ' wa mwisho ndiye mshindi',, Kumbe uko serious???
Pep said: Ikitupendeza 'mioyoni mwetu', pia ikampendeza Bwana...tutaweza kuzurura kwenye hizi chimboView attachment 2042626 Click to expand... Awww Nasubiri kwa hamu baba mtumishi. Nikajua ni utani tu wa ule uzi ' wa mwisho ndiye mshindi',, Kumbe uko serious???
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,494 Dec 13, 2021 #123,838 Saguda47 said: Mvua ya mawe, Nachotaka kusema, acheni kujifanya wachambuzi wa kijeshi kama hujui hayo mambo! Wachambuzi wa kijeshi wa jf hiki chombo kikifoka wengi wenu mnaachwa hamna kumbu kumbu zozote! Name this m*fvckView attachment 2042051 Click to expand... PK Machine Gun
Saguda47 said: Mvua ya mawe, Nachotaka kusema, acheni kujifanya wachambuzi wa kijeshi kama hujui hayo mambo! Wachambuzi wa kijeshi wa jf hiki chombo kikifoka wengi wenu mnaachwa hamna kumbu kumbu zozote! Name this m*fvckView attachment 2042051 Click to expand... PK Machine Gun
Pep JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,338 Reaction score 5,490 Dec 13, 2021 #123,839 Saint Anne said: Muda pekee nilionao kwenda katikati ya wiki ni alfajiri sana. Nitajitahidi nihudhurie Mimi jana mvua imenirudisha. Usipotee sana baba mtumishi, Hadi nakutafuta hivi jamani! Nasubiri selfie yako baba ukiwa mwenyewe Click to expand... Amen, na ikawe kama utamanivyo moyoni mwako. Sipotei, nikisahau kuja huku tataonane kule mtaa mwingine. Selfie ni usiku mataga wakilala 🤣🤣🤣
Saint Anne said: Muda pekee nilionao kwenda katikati ya wiki ni alfajiri sana. Nitajitahidi nihudhurie Mimi jana mvua imenirudisha. Usipotee sana baba mtumishi, Hadi nakutafuta hivi jamani! Nasubiri selfie yako baba ukiwa mwenyewe Click to expand... Amen, na ikawe kama utamanivyo moyoni mwako. Sipotei, nikisahau kuja huku tataonane kule mtaa mwingine. Selfie ni usiku mataga wakilala 🤣🤣🤣
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Dec 13, 2021 #123,840 Post M-alone said: View attachment 2042546 Tushindane kuandikia mkono tofauti, mi ni right nimeandika kwa left. NB, message kwenye karatasi haiuhusiani na member yeyote wa jf. Twende kazi. Tukimaliza hapo tunakuja kushindana sasa mikono tunayotuniaga. Click to expand... Ukorooooofiiiiii😃😃😃😃
Post M-alone said: View attachment 2042546 Tushindane kuandikia mkono tofauti, mi ni right nimeandika kwa left. NB, message kwenye karatasi haiuhusiani na member yeyote wa jf. Twende kazi. Tukimaliza hapo tunakuja kushindana sasa mikono tunayotuniaga. Click to expand... Ukorooooofiiiiii😃😃😃😃