Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Heeeeeeeeeeeh unawajua manesi wewe!???? Kazi kazi hamna kuremba eti!!Apo kwenye mazoezi ya viungo ndo sesseion mgonjwa anayopenda, hajasahau zile smooth kazi nesi anayo
Heeeeeeeeeeeh unawajua manesi wewe!???? Kazi kazi hamna kuremba eti!!Apo kwenye mazoezi ya viungo ndo sesseion mgonjwa anayopenda, hajasahau zile smooth kazi nesi anayo
Uzuri sina mashaka na manesiiii....mgonjwa anapona kizembeHeeeeeeeeeeeh unawajua manesi wewe!???? Kazi kazi hamna kuremba eti!!
Wee ngoja uone ndo utajua huwajui haha!!Uzuri sina mashaka na manesiiii....mgonjwa anapona kizembe
Sasa mgonjwa anaomba playlist kali ili kwenye wodi asiboreke akiwa anamsubiria nesi kwa sindano za usikuWee ngoja uone ndo utajua huwajui haha!!
😜😜 Akutumie hapa au alete kule wodini???Sasa mgonjwa anaomba playlist kali ili kwenye wodi asiboreke akiwa anamsubiria nesi kwa sindano za usiku
Hapa hapa ...akija kufika zishapitiwa😜😜 Akutumie hapa au kule wodini???
Amesema atakuletea wodini uzuri leo yupo shift ya usiku!Hapa hapa ...akija kufika zishapitiwa
Au mgonjwa apitie za nyuma?Amesema atakuletea wodini uzuri leo yupo shift ya usiku!
Hapana analeta mpya leoAu mgonjwa apitie za nyuma?
Chi chi chi chi ....cha cha cha ....mario kazi anayo remix😀😀😀
Kwa style hii bora mgonjwa asiponeeeHapana analeta mpya leo
Chiiii chiiiii chiboongeeeee!!
Apone buana ili nesi apumzike Kwani mgonjwa msumbufu balaa nesi hapumui kabisa!Kwa style hii bora mgonjwa asiponeee
Kwani mgonjwa anataka nesi akapumzikeApone buana ili nesi apumzike!!




Yuko kwa babe wakena babee wako anajuaa kuwa huna , jack yuko wap kwanza
Na wewe uko kwa nani?Yuko kwa babe wake
Nipo kwa bed nimekumbatia mtoNa wewe uko kwa nani?

nkamu umefuta kabla sijaona...am sad![]()
Msubirie jack au ushamvurugaNipo kwa bed nimekumbatia mto![]()
nimerud nkamu...tuone kapicha jamaniNkamu unalala sana, Vipi usharudi?


