Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,403
Mungu Awabariki 








Bahu hicho ni kiumbeNini hiki sasa mjukuu jamani? Kina uhusiano wo wote na mibaraka ya Mungu? Mboko zinakuhusu haki ya nani![]()

The best way?Morning!![]()



Not sure! Hahaha!!!The best way?
Are you sure that this is THE BEST way to start your day?![]()
Yanga atapigwa 2 bilaGood morning all
Wale wa simba na yanga.
Nani atapigwa? Hamna draw
PM yako ingekuwa wazi ningekuja tupinge. Laki tano Yanga akipigwa nakupa, laki tano Simba akipigwa unanipa. Simba lazima achakazwe leo...tena goli 3 au khamsa kabisa akizubaa!Yanga atapigwa 2 bila
Nasemaaa yanga 0 -2 Simba! TumepingaPM yako ingekuwa wazi ningekuja tupinge. Laki tano Yanga akipigwa nakupa, laki tano Simba akipigwa unanipa. Simba lazima achakazwe leo...tena goli 3 au khamsa kabisa akizubaa!
Nasemaa the opposite Yanga 2 - 0 Simba! Hatujapinga!Nasemaaa yanga 0 -2 Simba! Tumepinga
Wee msukuma Unataka nifanyeje ili tupinge?? Mjiandae pa kujificha tu matokeo ni vice versa na unavotarajia wewe jipange!Nasemaa the opposite Yanga 2 - 0 Simba! Hatujapinga!
Nimekufollow nipm tubet...naona nawe umefungaNasemaa the opposite Yanga 2 - 0 Simba! Hatujapinga!