Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,514
- 235,219
Mimi mvumilivu,nakamatia kama pindo la Yesu[emoji38]Huo moyo wako wala sina aise[emoji23]
Mimi mvumilivu,nakamatia kama pindo la Yesu[emoji38]Huo moyo wako wala sina aise[emoji23]
Baby i am just joking...u are love of my lifeHujatulia baby
Mwenzangu una moyo. Mimi akuuuMimi mvumilivu,nakamatia kama pindo la Yesu[emoji38]
Baby utaniua kwa pressure ujueBaby i am just joking...u are love of my life
Babe nampoteza my ex tu. Wewe hakuna wa kunitenganishaBaby utaniua kwa pressure ujue
Hapo sawa baby [emoji8]Babe nampoteza my ex tu. Wewe hakuna wa kunitenganisha
😂Mpambano huo nani alishinda?Pambana nalo
Mwenzio nilipambania penzi mwaka mzima
Niliamua kubaki na kaka yako tu.[emoji23]Mpambano huo nani alishinda?
[emoji1787]Babe nampoteza my ex tu. Wewe hakuna wa kunitenganisha
❤Hapo sawa baby [emoji8]
Babe be happy i am yoursRaha raha tupu kupendana nawewe[emoji126]
Vijana hawatakiwi kuona vya Wakubwa! Mpaka wakue kama Kaka zao!Wii[emoji1787]
Hebu wabariki vijana
Hahaha sawa mkuuSawa mkuu hatukuingilii
[emoji38]Vijana hawatakiwi kuona vya Wakubwa! Mpaka wakue kama Kaka zao!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na ukatafuta kweli ili uende turkey, cc bhana lolImeletwa [emoji39]
Bado kuna nafasi ya mtu mmoja kwenda Turkey,,,mimi naenda zangu Tukuyu kula maparachichi.
Wale walioona Turkey ni big deal na kusema ' tutafute pesa twende Turkey' nina ofa yenu ya mtu mmoja.View attachment 2039420