Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Ukiondoka hujui hiyo lugha basi itakuwa uzembe wako tu.Wenyeji..... aaaagh
Ukiondoka hujui hiyo lugha basi itakuwa uzembe wako tu.Wenyeji..... aaaagh
Aaah wapi wewe umeutoroka mjiHutaki kukutana na sisi wenyeji mkuu?
Hata salamu nimeshasahau. Ntajifunza polepoleUkiondoka hujui hiyo lugha basi itakuwa uzembe wako tu.
Karibu Sana mbeya ukitaka kutembea tembea zaidi karibu nikutembezeHaya, nimezurura kiasi Leo kwenye mji wenu.View attachment 2039905
Wew siupo daslamu au mbeya Kuna mwendokasi au unatuhadaaNdiyo
Niende wapi mimi mtoto wa Mbeya

PoapoaKaribu Sana mbeya ukitaka kutembea tembea zaidi karibu nikutembeze
Mbeya hakuna vigodoro.Ndiyo
Niende wapi mimi mtoto wa Mbeya
Mwendokasi umeiona wapi jamani.Wew siupo daslamu au mbeya Kuna mwendokasi au unatuhadaa![]()
Umeviona wapi mkuu?Mbeya hakuna vigodoro.
Hahaaaaaa wewe huna tabia hizo.Umeviona wapi mkuu?
Si unapiga picha yoyote tu na unawabambima watu afu unasingizia ni kgodoro.
Sawa bossMwendokasi umeiona wapi jamani.
Si tunafoji tu na sisi tupo kwenye mwendokasi,mumbe tupo kwenyw daladala za igawilo stendikuu.
Mimi niko macho...mtu chake Shimba Ya Buyenze mshasinzia???



Hahahaaa.. bado upo macho???Amen...
Na kwako pia...![]()
![]()
![]()
Bado nipo...Asubuhi yote hii ushaamka? Tena wikiendi? Why?Hahahaaa.. bado upo macho???