Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,511
- 235,218
Unakijua[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nini kimekufurahisha sana[emoji854]
Unakijua[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nini kimekufurahisha sana[emoji854]
Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama hujui basi
Haaa😂😂😂Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimegundua sasahivi[emoji38]
Mambo mengi aiseee na kichwa changu ni kizito mno[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Afu nimemuazima mturuki leo hiyo anaitumia hadi atakapoondoka.
Usije ukawa umeitafuta leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaan kichwa kizito na bia hunywi😊Dah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimegundua sasahivi[emoji38]
Mambo mengi aiseee na kichwa changu ni kizito mno[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Afu nimemuazima mturuki leo hiyo anaitumia hadi atakapoondoka.
Nimekumiss my ex ilibidi nikutafuteUsije ukawa umeitafuta leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nikinywa sijui itakuwaje[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Yaan kichwa kizito na bia hunywi[emoji4]
Dah!Nimekumiss my ex ilibidi nikutafute
Hongera,kama mambo yapi ulikua kilaza mkuu?Mwandiko unaendanaga na marks mkuu[emoji38]
Mwandiko mtupu bila marks,mwalimu anapata wapi courage ya kuusifia!?
Nikikiotea kipepa basi nahakikisha nimepanga kazi nimeucharanga hadi nimshangaze mwalimu huko.
Kuna masomo yangu ambayo nilikuwa nanyooka nayo nayo nahakikisha najibu vizuri kuzidi wote na mwandiko nao ukinibeba basi mambo ni mambo.
Ila mengine nilikuwa kilaza tu.
😂ipi hiyo sitaki kuwa nayo?Dah!
Mbuzi wa masikini hazai[emoji38][emoji119]
Usijali,ntakutafuta kwa ile nyingine ambayo kila siku hutaki kuwa nayo na mimi ndio naipenda sana.
Ile[emoji38][emoji23]ipi hiyo sitaki kuwa nayo?
Mengi tu mkuu wanguHongera,kama mambo yapi ulikua kilaza mkuu?
Uchague flavour tu kati ya vanilla, strawberry au orange 😉😉Usinambie aisee ntafunga safari ujue[emoji23]
Babu syb njoo uone[emoji3061]
Hata sijui nikujibu vipi. Nifundishe pleaseTumoghele Soweto
Tumoghele Mama John
Tumoghele Kabwe
Tumoghele mbeya[emoji91]
U wanted me to cry....been calling uYes my baby
How are you today