Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,380
- 88,736
Wanaume wanaomiliki silaha huwa nawakubaligi, wananifanya nijione salama nikiwa naoHuo mguu wa kuku hapo juu ya tarakilishi mpakato haukukutetemesha?![]()
Wanaume wanaomiliki silaha huwa nawakubaligi, wananifanya nijione salama nikiwa naoHuo mguu wa kuku hapo juu ya tarakilishi mpakato haukukutetemesha?![]()
Nilikuwa sijaziona hii comment.Haukosagi cha kukosoa dogoMbona una macho ya kulegea sana![]()

Acha kuji exclude mkuu. Am certainly sure wewe ni daktari piaIla nanyi madaktari mna kazi ngumu. Malaika kama huyu ndo anakujia eti umfanyie physical exam mh! Labda huko chuoni kwenu huwa mnafundishwa jinsi ya kuepuka vishawishi....
Hatari sana!Hahahaha, bhasi wamefelii situmi
😀😀😀😀😀Dawa ni kujitoa ufahamu tu..unatuma na unatuma tena na tena mpaka watachoka kuzifowadi!
Kitu gani jamaninimekutana na kitu cha ajabu usiku huu
Wanakosea sana mkuu. Kuna vitu siyo vya kutukanana hadharani kabisa.Taarifa zimeshafika kunakohusika naamini kukipambazuka kuna replies nyingi zitang'olewa na pengine wahusika kupata adhabu stahiki
Watu wengi hawajafahamu kuwa self-respect ni kitu muhimu sana. Kuliko kufika huku sometimes ni vizuri mmoja akakaa kimya, hii kudhalilishana siyo nzuri kabisa. Unaweza ukawa unamtukana mtu yeye akatake personal akaenda kujidhuru mbele ya safari. Mambo ya cyberbullying kwa nchi nyingi ni kuvunja sheria za mtandaoni, lakini hapa kwetu watu hawachukulii serious kabisa.Tunatambuana kwa ID bandia.. Hatujuani maisha halisi nje ya JF! Ni sisi sisi miongoni mwetu na kati yetu kuna GREAT THINKERS na GREAT SINKERS!
Naamini uongozi utachukua hatua na leo tutakuwa na utulivu kwenye jukwaa letu pendwaWatu wengi hawajafahamu kuwa self-respect ni kitu muhimu sana. Kuliko kufika huku sometimes ni vizuri mmoja akakaa kimya, hii kudhalilishana siyo nzuri kabisa. Unaweza ukawa unamtukana mtu yeye akatake personal akaenda kujidhuru mbele ya safari. Mambo ya cyberbullying kwa nchi nyingi ni kuvunja sheria za mtandaoni, lakini hapa kwetu watu hawachukulii serious kabisa.
Kuna mtu anaweza kuwa anakufahamu halafu akapitia uzi akasoma maneno machafu unayopost mtandaoni ikaathiri hata career yako ama heshima yako. Na hata kama hatufahamiani ni vizuri kuheshimiana tu na kuepusha kufika mbali na kutoleana maneno machafu. Tunakuwa kama hatujaelimika.
Happy independent dayUsiku mwema kwenuView attachment 2038828
Hali ni shwari asubuhi ya leo...Ila huyo jamaa anazingua sn na hzi mada Kwa kweli
Nakuja Mbagala, Ngoja niweke kumbukumbu zangu sawa.















Uweke kwanza selfie ndio usepe, kwanza kumepoa, kiranja wa zamu nipoUkipata chimbo nitag nami nikuje Hapa chefuuuukabisa!
