Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,859
Kuwa makini,usije kuwa Kama bundi.Bundi hunusa harufu ya mtu anayekaribia kufa hata wiki moja kabla ndy maana anahusishwa na uchawi.Akilia juu ya paa la nyumba yako ni balaaKumbe
Na upenda tu

Ingawa kitaalamu binadamu anapokaribia kufa seli za mwili wake ndy huanza kufa taratibu na zinatoa harufu ingawa Sisi binadamu hatuhisi, ndy mana bundi ana uwezo wa kuhisi kifo mapema sn kwenye nyumba yenye mgonjwa mahututi anayekaribia kufa
Sasa wewe unaupenda huo wimbo wa nimeachika wa hi amber Lulu,ukiulizwa unasema unaupenda Tu
.angalia usije kuwa km bundi
Ni mfano Tu lkn
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app


