Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,234
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mwenzio mbona kazifanya kuwa sehemu ya utambulisho wake? Ukizitumia vizuri utapiga hela mpaka uombe poo. Kama ni MD kama ulivyogusia hapo juu utasikia tu wagonjwa "mi sitaki surgeon mwingine anifanyie operesheni mpaka yule mwenye dimpozi". Jikubali mkuu kwa sababu hakuna namna [emoji16]Mkuu unanipa hongera kuwa na dimples [emoji44]..me siyo omy asee na siko proud nazo kbs[emoji28]
Sisi mapenzi yetu ni ya kisela[emoji28]Unadhani hata ni cha maana basi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kamuhudumie babe wako yule ex wangu.
Mimi mwenzio mida kama hii nilikuwa nampiga spana za verse kali za mahaba.
Ila huyo jamaa anazingua sn na hzi mada Kwa kweliMkuu sidhani kama hii mada ni mahali pake bana.
Behave
Na wewe unataka uende kulia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha bana kanitag huko my ex
Mhh bora nikae kimya😊Naombeni mlale kama mmeshaishiwa agenda.
Gnite y'all...
Bora umepost picha labda itabadilisha ajenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha mmu nina kama wiki na zaidi sijaendaYaani nacheeeka[emoji38]
Nimetoka tena huko MMU nimekutana na comment za miss pablo yaani sina hali.
Piga 🤣🤣Naomba nikupigie[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji38]Sisi mapenzi yetu ni ya kisela[emoji28]
Jamani jamani😋😋😋
Naanzaje kulia?naenda kupitisha macho tuNa wewe unataka uende kulia?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna mwamba wetu huko cariha anapangua hoja za wanaume wanaolialia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna tafrani huko mmuUmenikumbusha mmu nina kama wiki na zaidi sijaenda
Ntaenda kesho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cc usinichekeshe mie, mambo ya humu na hiyo funga yako mbna mbali mbali sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38]
Usinitendeshe dhambi,nipo kwenye mfungo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Usije sababisha funga yangu ikaharibika hapa,nikawa nimeshinda njaa bure.
Praise the lord
Yes my love
Waongezee nyingine 🤣🤣Bora umepost picha labda itabadilisha ajenda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nipo kote kote mkuu wangu. Kule kwenye likes nilishatoka mazima. Huwa nasaka sehemu salama ambako kuna upendo, vicheko na furaha. Huku kulikuwa salama sema tu hivi karibuni kuna pepo la ushoga limeng'ang'ania halitaki kuondoka na wananzengo wanaporomosheana matusi hatari. Kuna haja ya kupumzika kidogo mpaka kutakapotulia. Kama kuna chimbo jingine ambako kuna furaha na upendo kama ilivyokuwa hapa nielekeze [emoji16][emoji16]Mzee mwenzangu kumbe na huku familia ,long time
Babe valee...😘Sisi mapenzi yetu ni ya kisela[emoji28]