Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kabisa mkuu japo kuna Bimmer maniacs huwa hawataki kukubali hili. Kuna uzi kule wa Bimmer vs LC V8 jamaa alipost video anashindana na V8 yeye ndiyo alikuwa kwenye Bimmer V8 ikampita hadi leo ule uzi bado unatembea watu wanabishana tu Bimmer maniacs wameuvamia hatari.

Wenye mahaba na Bimmer watakuambia sijui oo kuna BMW X7 na 7 series zimeshazizidi hizo V8 kwenye kila kitu imagine eti kila kitu (mimi nakataa hapo kwenye kila kitu). Hata mimi kwa mjerumani naona hakuna anayemfikia BMW siyo MB siyo VW ila kwa LC tuseme ukweli mjapani kakataa kuwa mnyonge!
Gari inategemeana na dereva ndo maana kuna mda passo anaweza mpita prado
 
Umezidisha mno kujisiriba usoni Ostaadhi. Ngoja nimwite na mjukuu na binti yangu waje washuhudie...
IMG_20211210_083057_627.jpg

Hapa Vipi?
Tatizo unawalisha matango pori wajukuu zako kuhusu mimi!
Umesahau kuwa babu yangu alikimbia visima vyao vya mafuta!?
 
Back
Top Bottom