Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,175
- 34,410
hmmm.Ahahah mkuu Mimi na Depal hatuna undugu kbs..yeye ni mmeru wa Arusha huko na Mimi ni muafrikaan from South Africaš
View attachment 2038764
haya bana.
hmmm.Ahahah mkuu Mimi na Depal hatuna undugu kbs..yeye ni mmeru wa Arusha huko na Mimi ni muafrikaan from South Africaš
View attachment 2038764
cc usinichekeshe mie, mambo ya humu na hiyo funga yako mbna mbali mbali sana
Wee mwenyewe angalia vituko na vibweka vya humu, unadhan nini sasa?
Yaan inakua sizitaki mbichi hizi, kumbe umeshindwa kupanda juu.![]()





Ule waliokosea kuoa?Kuna uzi huko wanaume wanalialia sana
Inabidi wakarabatiwe dawati lao la jinsia aisee.
Lee anasema anakudaiYes my love
Ngoja nikabip kidogoKuna tafrani huko mmu
Utacheka uzimie![]()
Hebu kataza basi.Waongezee nyingine![]()
Honestly me mnaniboa sana ni vile siwezi changia hizo mada.
Ata mimi nililiona humu ila naona wengine wanaona poa ,nilichofanya nikawaignore post zao sioni ila hiz siku imekuwa too much walishawah kunikimbiza kwenye hili jukwaaNipo kote kote mkuu wangu. Kule kwenye likes nilishatoka mazima. Huwa nasaka sehemu salama ambako kuna upendo, vicheko na furaha. Huku kulikuwa salama sema tu hivi karibuni kuna pepo la ushoga limeng'ang'ania halitaki kuondoka na wananzengo wanaporomosheana matusi hatari. Kuna haja ya kupumzika kidogo mpaka kutakapotulia. Kama kuna chimbo jingine ambako kuna furaha na upendo kama ilivyokuwa hapa nielekeze![]()
Babuuu unanionea sasa wallah iv, mbna mie nshakua cool na mambo yangu tangu mda, c we apo na huyo mwenzio ndo mmeleta hizo mada hapa tena, sijui chimao na huyo Congolese sijuiMjukuu wangu mpendwa nadhani imetosha sasa.. Nadhani ukiweza tutoe nafasi sasa kwenye muktadha wa mada maisha yasonge! Kwa utashi na hekima kuu una nafasi adhimu ya kufanya hili liwezekane![]()











Kuna nini babe?Umenikumbusha mmu nina kama wiki na zaidi sijaenda
Ntaenda kesho
Nipo kote kote mkuu wangu. Kule kwenye likes nilishatoka mazima. Huwa nasaka sehemu salama ambako kuna upendo, vicheko na furaha. Huku kulikuwa salama sema tu hivi karibuni kuna pepo la ushoga limeng'ang'ania halitaki kuondoka na wananzengo wanaporomosheana matusi hatari. Kuna haja ya kupumzika kidogo mpaka kutakapotulia. Kama kuna chimbo jingine ambako kuna furaha na upendo kama ilivyokuwa hapa nielekeze![]()
Kwenye likes nako shida ni gani?Nipo kote kote mkuu wangu. Kule kwenye likes nilishatoka mazima. Huwa nasaka sehemu salama ambako kuna upendo, vicheko na furaha. Huku kulikuwa salama sema tu hivi karibuni kuna pepo la ushoga limeng'ang'ania halitaki kuondoka na wananzengo wanaporomosheana matusi hatari. Kuna haja ya kupumzika kidogo mpaka kutakapotulia. Kama kuna chimbo jingine ambako kuna furaha na upendo kama ilivyokuwa hapa nielekeze![]()
Ukipata chimbo nitag nami nikuje Hapa chefuuuuNipo kote kote mkuu wangu. Kule kwenye likes nilishatoka mazima. Huwa nasaka sehemu salama ambako kuna upendo, vicheko na furaha. Huku kulikuwa salama sema tu hivi karibuni kuna pepo la ushoga limeng'ang'ania halitaki kuondoka na wananzengo wanaporomosheana matusi hatari. Kuna haja ya kupumzika kidogo mpaka kutakapotulia. Kama kuna chimbo jingine ambako kuna furaha na upendo kama ilivyokuwa hapa nielekeze![]()



kabisa!Mke wangu umekuja na hukušhmmm.
haya bana.
@Saint Anne HujamboIla huu uzi![]()
cariha chuma cha Mjerumani kile hata muwe mia hatetereki na hakimbii wala nini. Na ukijifanya kukosa ustaarabu na yeye anakosa vile vile. Kama kweli ni mwanamke basi ni ngangari kweli kweli yaani...japo in real life unaweza kumkuta ni mtu mpolee na mtiifu tu kwa mumewe/mpenzi...Na wewe unataka uende kulia?
Kuna mwamba wetu huko cariha anapangua hoja za wanaume wanaolialia![]()
Nipo ku relaksi tu na wana JF wenzangu wasiokuwa na stress za ndoa. š¤£š¤£š¤£Mke wangu umekuja na hukuš
Unanifatilia kila mahali mke,mwenzio nipo night shift nafanya operation,wewe sasa hivi mbn unazurura wakati mida ya kulala hii aseeš
Babe valee Valentina nataka pics kama hiziš