Selfika na JF: Snap it. Show it

Nissan Y62 ni mean machine aisee tena inaweza kuzibomoa BMW nyingi tu kwa Engine size na Power sema wabongo tumezidi dharau!

Nasubiri LC300 ziingie kwenye mass production ili serikali wazinunue nyingi kisha watu wataelewa mziki wake kipande cha Dar-Dom!
 
Aahh wanaangalia reviews za youtube halafu ndiyo wanakuja kutudanganya huku. Eti hakuna gari inaizidi BMW duuuuh!
Kwa real experience ya gari wengi hawajawahi panda any of those cars πŸ˜… labda 3 series ila 5 series wachache sana wamezionja tena long trip! Hata VX-R zenyewe ila wanabishanaπŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…