Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Be free babe ValentinaSigombei tena,nimestaafu.
Kuwa huru[emoji4]
Be free babe ValentinaSigombei tena,nimestaafu.
Kuwa huru[emoji4]
Sikukuu hii unaonaje ukiselfika yale mamiguu tena? Nilisevu ile picha ila siioni. Roho inaniuma hatari yaani [emoji870][emoji870][emoji870][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Am good beibe
Nikajua jimbo limesharudi kwa mtakatifu jamani
Aisee sina ndugu wenye mdomo mchafu milithi ya dampo la taka.Wacha kushupaza shingo wewe!!
Acha dharau dogo undugu sio lazma mfanane majinaMimi nitoe hapo kwenye ndugu zako.
Khaaaa 🤣🤣🤣Unaona sasa mtoto na dimpoz zake, hivi kumbe kuna wameru wazuri hivi[emoji23][emoji23][emoji23]shida yenu mkishika visu lazima dam imwagike[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23]
🤣🤣🤣 nimeinua shingo yangu najaribu kuishupaza nione huo msemo venye unakuwa ila imekataa kushupalika.Wacha kushupaza shingo wewe!!
Sidhani kama ndugu yako unaweza kumtukana kwa matusi ya hovyo.Acha dharau dogo undugu sio lazma mfanane majina
Yangu nusura ivunjike fundi alivyoishupaza wakati anasuka Yebo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeinua shingo yangu najaribu kuishupaza nione huo msemo venye unakuwa ila imekataa kushupalika.
Dah mkuu ni vema ututukane sisi sasa tunaojadili kuliko kumtukana YesuWekeni picha punguzeni mada za stupid white boy named Jesus.
Najua we pops na magazeti ni kila mtu na njia yake [emoji1787][emoji1787]Mi sitaki magazeti yenu[emoji23][emoji23], ngoja kwanza nifurahie haka ka dhambi..nitakaacha tu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]shingo haijakakamaa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeinua shingo yangu najaribu kuishupaza nione huo msemo venye unakuwa ila imekataa kushupalika.
Watu wa Mungu wanasamehe na kusahau, haya mambo ya bifu tuachieni sisi tuolikengeuka[emoji23]Aisee sina ndugu wenye mdomo mchafu milithi ya dampo la taka.
Wewe umenijua sasa!!Najua we pops na magazeti ni kila mtu na njia yake [emoji1787][emoji1787]
Mimi sina bifu na mtu na wala sijawahi kuwa na bifu na mtu, na wala sina muda wa kutukana mtu hovyo..Watu wa Mungu wanasamehe na kusahau, haya mambo ya bifu tuachieni sisi tuolikengeuka[emoji23]
Basi fanya kama hakuna kilichotokea!Mimi sina bifu na mtu na wala sijawahi kuwa na bifu na mtu, na wala sina muda wa kutukana mtu hovyo..
Heshima ni kitu cha bure.
Hujambo mkuuAbeee
Duuh Mungu aepushie mbali asee [emoji120][emoji120]Walokole wengi (hata wale feki) huwa wanajiona kama wana hatimiliki na Mungu; na wana ka authority fulani hivi na Neno lake. Ila ukiangalia maneno na matendo yao sasa mpaka unatikisa kichwa.
Kila mtu na ashike sana alichonacho hasa nyakati hizi ambapo watu hawaogopi kitu tena; mpaka dhambi za kinyama zinatendeka mchana peupe; huku zikitetewa na kuungwa mkono waziwazi.
Dunia nzima sasa imejifunga kibwebwe kueneza na kusambaza ushoga. Huwezi kuangalia muvi kwa amani bila kukutana na ushoga. Mpaka katuni za watoto. Na kama unataka uharibu career yako jaribu tu kuusema ushoga vibaya. Utafukuzwa kazi na kuandamwa sana. Mpaka imekuwa kama sifa fulani hivi mtu akijitangaza kuwa ni shoga (ku- come out). Huyo ndo ataitwa shujaa na mwenye courage. Shujaa wa nini? Courage ipi? Wanajua wenyewe!
Kwa nini dunia nzima inapiga kampeni ku promote ushoga? Kuna kitu gani ambacho ni so special kuhusu ushoga? Wapo baadhi ya watu wanaofungamanisha kampeni hizi na mfumo mzima wa kumwondoa binadamu na kumtenga mbali kabisa na Mungu lengo likiwa ni kuweka mazingira mazuri ya New World Order - serikali moja ambayo kiongozi wake mkuu atakuwa ni yule mpinga kristo aliyetabiriwa kuwa atatokea siku za mwisho kabla ya Masihi kurudi. Eti huyo mpinga Kristo naye atakuwa shoga! Kwamba, japo dhambi zote ni machukizo kwa Mungu na mshahara wake ni mauti, hakuna dhambi yenye kudhalilisha utu na kumfikisha binadamu katika utengano kamili na Mungu wake kama ushoga. Ndiyo maana dunia imewekeza sana katika dhambi hii na waalimu wa unabii wanasema kuwa haijawahi kutokea dunia nzima kuungana katika kupromote dhambi kuu waziwazi namna hii kama tunavyoshuhudia leo.
Mnaweza kukesha hapa mkibishana na kutukanana lakini wenye dunia yao wanajua kinachoendelea ndiyo maana wamewekeza mabilioni ya dola kwenye ajenda hii. Na kama ilivyokuwa kwenye suala la demokrasia (vyama vingi), inaaminika kuwa ushoga nao utalazimishwa tu kama ajenda ya jumla kwa mataifa yote duniani. Usiporuhusu ushoga unanyimwa misaada ya kiuchumi na wakubwa wa dunia. Ushoga sasa ni suala la haki za msingi za kibinadamu!
Basi kila mtu na ashike sana alichonacho! [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]