Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Walokole wengi (hata wale feki) huwa wanajiona kama wana hatimiliki na Mungu; na wana ka authority fulani hivi na Neno lake. Ila ukiangalia maneno na matendo yao sasa mpaka unatikisa kichwa.

Kila mtu na ashike sana alichonacho hasa nyakati hizi ambapo watu hawaogopi kitu tena; mpaka dhambi za kinyama zinatendeka mchana peupe; huku zikitetewa na kuungwa mkono waziwazi.

Dunia nzima sasa imejifunga kibwebwe kueneza na kusambaza ushoga. Huwezi kuangalia muvi kwa amani bila kukutana na ushoga. Mpaka katuni za watoto. Na kama unataka uharibu career yako jaribu tu kuusema ushoga vibaya. Utafukuzwa kazi na kuandamwa sana. Mpaka imekuwa kama sifa fulani hivi mtu akijitangaza kuwa ni shoga (ku- come out). Huyo ndo ataitwa shujaa na mwenye courage. Shujaa wa nini? Courage ipi? Wanajua wenyewe!

Kwa nini dunia nzima inapiga kampeni ku promote ushoga? Kuna kitu gani ambacho ni so special kuhusu ushoga? Wapo baadhi ya watu wanaofungamanisha kampeni hizi na mfumo mzima wa kumwondoa binadamu na kumtenga mbali kabisa na Mungu lengo likiwa ni kuweka mazingira mazuri ya New World Order - serikali moja ambayo kiongozi wake mkuu atakuwa ni yule mpinga kristo aliyetabiriwa kuwa atatokea siku za mwisho kabla ya Masihi kurudi. Eti huyo mpinga Kristo naye atakuwa shoga! Kwamba, japo dhambi zote ni machukizo kwa Mungu na mshahara wake ni mauti, hakuna dhambi yenye kudhalilisha utu na kumfikisha binadamu katika utengano kamili na Mungu wake kama ushoga. Ndiyo maana dunia imewekeza sana katika dhambi hii na waalimu wa unabii wanasema kuwa haijawahi kutokea dunia nzima kuungana katika kupromote dhambi kuu waziwazi namna hii kama tunavyoshuhudia leo.

Mnaweza kukesha hapa mkibishana na kutukanana lakini wenye dunia yao wanajua kinachoendelea ndiyo maana wamewekeza mabilioni ya dola kwenye ajenda hii. Na kama ilivyokuwa kwenye suala la demokrasia (vyama vingi), inaaminika kuwa ushoga nao utalazimishwa tu kama ajenda ya jumla kwa mataifa yote duniani. Usiporuhusu ushoga unanyimwa misaada ya kiuchumi na wakubwa wa dunia. Ushoga sasa ni suala la haki za msingi za kibinadamu!

Basi kila mtu na ashike sana alichonacho!
Mkuu umeandika vizuri sana, mimi huu mjadala wala sijataka kuongea mengi ila tunakoelekea na hawa vijana wetu wanaokuwa, tuna mtihani mkubwa mno kwa vile dunia ya kwanza ipo nyuma ya hii vita.

Kila mtu akipita hapa na kusoma post yako anaweza kutafakari kidogo, kuetetea ushoga na kuwatetea mashoga kwa vile tu dhambi zote ni sawa...aseee! Naishia hapa...
 
Haya ndiyo uliyotakiwa uongee tangu mwanzo kuliko kutudanganya hapa na kumsingizia Mungu mambo ya uongo! Hayo mambo ya kufinyia kwa ndani ni kweli wengi hatujisikii vizuri kuona mwanaume akiongea vitu kama hivyo illa ulipoamua kumsingizia Mungu uongo ndipo uliponishangaza!

Kama Mungu mwenyewe atamsamehe na kumruhusu huyo mtu aingie mbinguni sisi ni nani hata tumhukumu? Sisi tunapaswa tumkanye tu aache ushoga ili mwisho wa siku tukiulizwa tuseme tulimuambia ila hakusikia lakini hayo mengine ya ukubwa wa dhambi ni kumsingizia Mungu!

Na ningependa pia muwe mnawakemea na wale wanawake wanaopost picha zao za uchi kwa maana nao wanatenda dhambi na wanakwenda kinyume na maadili yetu! Bila kuwasahau wale wanaoigiza na kutazama movies za ngono ama x videos maana nao wanatenda dhambi pia mkuu!
hahahahhaha mwanaume anamfinyia mwanaume mwenzake kwa ndani....
 
Haya ndiyo uliyotakiwa uongee tangu mwanzo kuliko kutudanganya hapa na kumsingizia Mungu mambo ya uongo! Hayo mambo ya kufinyia kwa ndani ni kweli wengi hatujisikii vizuri kuona mwanaume akiongea vitu kama hivyo illa ulipoamua kumsingizia Mungu uongo ndipo uliponishangaza!

Kama Mungu mwenyewe atamsamehe na kumruhusu huyo mtu aingie mbinguni sisi ni nani hata tumhukumu? Sisi tunapaswa tumkanye tu aache ushoga ili mwisho wa siku tukiulizwa tuseme tulimuambia ila hakusikia lakini hayo mengine ya ukubwa wa dhambi ni kumsingizia Mungu!

Na ningependa pia muwe mnawakemea na wale wanawake wanaopost picha zao za uchi kwa maana nao wanatenda dhambi na wanakwenda kinyume na maadili yetu! Bila kuwasahau wale wanaoigiza na kutazama movies za ngono ama x videos maana nao wanatenda dhambi pia mkuu!
Dota kwa hiyo na pilau tusiangaliejamani jamani!
 
shida yenu mkishika visu lazima dam imwagike
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
emoji125.png
emoji23.png
🤣🤣 Wameru ukorofi wao umebaki ktk historia tu, ila ukitaka akubebee bifu miaka nenda rudi basi mdokolee ardhi yake hata nusu hatua tu.


Afu kuna hawa modern maasai 😂 wana midomo sana 🙌
 
Umebonga points sana chalii wa kwangu. Achana na hizo nguchiro zije kupata watoto. Halafu watoto wao wanajisiwe tangu wakiwa wadogo. Ufike umri wajikute wana addiction tayari tuone kama watawanyonga.

Wanafiki sana hawa watopolo. Yaani ni wanafiki wa kiwango cha lami. Wao ni wasafi kinoma hawana dhambi.

Kama ambavyo kuna watu wameumbwa abnormal (wenye ulemavu wa namna mbalimbali) pia wapo ambao wana hormonal imbalance katika viwango vya hali ya juu. Dawa sio kuwatukana eti na kujifanya wakali kwao. Tuwaombee na tuongee nao kistaarabu tu maana vitu vingine ni nature triggered.

Hivi katika hali ya kawaida wewe mwanaume utakubali kuwekwa nyama na mwanaume mwenzio? Sasa kama unaona ni kitu strange kwanini unadhani ni wewe tu unaona hivyo. Kwanini usiwaze nini kilitokea mpaka huyu mmoja akaanza hiyo mambo? Au wewe ni unique kinoma yani kwamba unazi senses za kutosha sana than others.

Acheni upumbavu. Kemeeni dhambi lakini kwa namna ambayo inajenga. Ukimtenga mdhanbi umemsaidia nini? Nyie masela nimewadharau kinima kubabake walay
Hakika ubarikiwe sana una maneno ya busara na hekima mno.

Unajua napenda kuwa mkweli siku zote, ushoga unasambazawa na mabasha, tena wengi wao wapo ktk ndoa zile takatifu.

Nina siri na ninajua mengi ila ngoja hili niliweke hapa.
Wakati naingia chuo 1St yr, nlibahatika kupata friends wawili wote n ke, urafiki wetu uko hadi sasa, namaanisha n real friends, sasa ktk m1 wapo kumbe alikua na rafiki gay ambaye walisoma wote o level, kwa sasa yuko chuo TIA Dar, sasa ktk urafiki wetu siku 1 rafk angu huyu akanambia tutoke, obvious mie sio mtu wa kutoka, nkamkatalia nkamuambiaje tukutane chuo tyuuh.

Basi nlivofka chuo naye alivokuja pale nkaona kaongozana na huyo mtu, by the way nlvomuona tyuuh nkajua uhalisia wake, tukapiga story pale na kucheka na nn, then tukatawanyika,

Baadae yule gay alinitafuta kwa cm ili niwe rafik ake wa karibu skuona vibaya, bas ktk kujuana kiundani nkaja kugundua yupo ktk mahusiano na mwanaume m1 ambaye n mfanya kazi wa bank 1 kubwa pale posta, pia ni mume wa mtu na baba wa watoto wawili wote wa kiume. Na ndoa ya kanisani na mkewe ni mwalimu wa sec maeneo ya tabata. Huyo mwanaume kampangia apartments huyu gay yaan km n mchepuko au nyumba ndogo.

Yule gay nkawa nazungumza nae iv je mke wake akijua wee ndo unaeharibu ndoa yake, tena sio mwanamke n mwanaume atajisikaje? Na atakufikiriaje wee? Nkawa naendelea kumuhoji huogopi kurogwa? Kuundiwa majambazi je? Kudhalilishwa? Majibu yake yalinifanya niwe mpole ila nkawa sichoki kuzungmza nae, maana n mtata afu ana zile nyodo za shombo ni mwenyeji wa Tanga, nilimuambia wazi kua gay sio tatzo na sikulaumu, ila mtu uliyenae sio sahihi kwako, mbna vijana na watu wasiioa wako wengi? Huko chuoni kwenu hakna wavulan wa wee kua nao? Km hakna kwanini usitulizane kwani usipokua ktk mahusiano utapungukiwa kipi? Lakini majibu yake sasa kilanga kiliniisha.

Kiukweli nilijisikia vibaya sana tena mno, nkamuuliza wee una dada? Akanijibu yes nkamuuliza wameolewa? Akanjjibu yes, nkamuuliza utajisikiaje shemej ako anamfanyia dada ako km binti wa watu anavofanyiwa kupitia wee? Alichonijibu sasa nilkua hoi, yaan nlichoka, bas sku zikawa zinaenda, sku hyo akaniita kwake nimtembelee, nlivoenda nkamkuta yupo na huyu mwanaume wapo sebulen wanatazama TV,

Nkaishia kusalimiana nao na baadae nkaondoka muda huo huo,
Kumbe huku nyuma yule mwanaume ana muuliza taarifa zangu yule gay wake, wakaelezana wenyewe mpaka walipotosheka, sasa kumbe yule mwanaume alichukua cm ya gay wake na kuchukua no yangu,

Siku hiyo nipo home jioni cm inaita kuchek no ngeni, huwa sipokei no ngeni nakataa na kutuma text kuuliza "we nani" bas akanijibu nkamuambia anitafute baadae,

Kweli ile baadae akanitafuta akajieleza wee, mie namsikiliza tyuuh, mara akaomba tuonane, nkamuuliza wapi anajibu mie kitambaa cheupe club sijui pub iko tabata, nkamgomea nkamuambia ukitaka njoo chuo sku gan nkamuambia, kweli ile siku alifika ndo nlimuona vizuri sasa, yaan akaanza kusema madhaifu ya gay yule, kumbe namjua nia yake mie niingie mtegoni nkawa namchora tyuuh, nkamdadisi sasa km kweli yule gay ana mapungufu hayo, kwanini bado yuko nae, na anamsaliti mke wake, majibu yake hadi nilijihisi homa.

Yaan akaanza kusingizia eti kuwa mkewe hakua muaminifu ktk ndoa, akaamua atafte mchepuko (ke) ili kupoza machungu, lakini huyo mchepuko alichofanya afadhari ya mkewe. sasa akaona wanawake nao ni wale wale, heri ageukie kwa gay, ilifikia hatua huyo gay analala nae ktk kitanda ki1 anacholala na mkewe, pindi akiwepo safarini au likizo mkoani, mie nikamuhoji baada ya yeye kuona mchepuko haujasaidia, kwanini asingetulia na mkewe waijenge familia yao. Akaanza kufunguka kuwa kuwa yeye ana hisia na gays (bottoms) ila kuoa amefanya kuepusha vidole vya jamii na kuwaridhisha wazazi/ndugu zake. nilichoka hapo hoi, nkaendelea kumuhoji kwanini sasa ameoa? Ili hali hana hisia na wanawake, asingisizie sjui hizo sababu wala hazina mashiko, kuoa na kuolewa sio lazima, sasa kwanini anamtesa kihisia binti wa watu akati yeye hana hisia nae? Akabaki anajitetea visivyo eleweka, nkaamua kumuambia ukweli wazi wazi.

Nkamuambia ni heri aachane na huyo mkewe kuliko kumtesa kihisia,(alikiri hana hisia na wanawake) japo ukweli anaujua yeye, nkamuambia kuhusu watoto tafuteni namna ya kuwalea pasipo kuathiri ukuaji na malezi bora kwao. Kwani mkewe atakapojua kua haya anayoyafanya itakua madhara zaidi ya kuachana unless awe ameridhika na hilo au hatalichukulia uzito. Nkaendelea kumuambia kuwa nje ya huyu Gay na mchepuko, km mkewe hakua muaminifu ni heri angechagua njia bora kwake, kuachana au kusamehe, kuliko kuongezea matatizo ktk familia yake. Yule mwanaume alinitazama na hakuamini km mie ndo nazungumza nae, nkamuhoji ushawahi kua na mahusiano na gay kabla ya kuoa akanijibu yes wakati akiwa advance na chuo pia. Nimkambana tena wee hapo inaonekana unao gays wengi na pia ni Malaya, kwani km sio hivyo usingenitaka mie, akaanza kusema oooh mie gay yeyote akipita mbele yangu ninae akikaa hovyo napita nae, nlichoka nilitamani nilie kwa uchungu, jinsi gan mwanamke au binti wa watu atakavyoletewa magonjwa . Nlijawa na huruma na hofu juu yake, baada ya mazungumzo hayo tukaachana,

Hadi leo bado wako ktk mahusiano, ila ndoa ya huyo mwanaume inasua sua natamani hata nimteteee huyu mwanamke ila naanzia wapi na nitaonekanaje kwa huyu mwanaume na gay wake. Mwanaume ndo amezama ktk kina kirefu cha mapenzi kwa gay, hasikii wala haoni. Hata marafki zangu hawa (ke) nlipowashirikisha walinikanya nisiingilie hayo mambo hayanihusu,niwaache wao wenyewe wapambane.

Nawaonea huruma sana wanawake walio olewa maana mambo km haya kwa waume zao hawawezi gundua wala kujua kamwe, wanabaki kuteseka gizani.

Haya hivi kwa mfano gays wote aliotembea nao huyu mwanaume wauwawe, huyu mwanaume hata tafuta gay mwingine au hata kumrubuni yeyote kumuanzisha?ukizingatia pesa na ushawishi anao.

Nimejaribu kuwaonesha jinsi ushoga ulivyo mpana,nina visa na matukio mengi ila nimeweka hili,ili wanaume na wanawake muangalie mnapambana na kitu au jambo la ukubwa upi.

.........
 
Hahaaa siku hizi nimepunguza sana asee yaani eti naandika magazeti na kuna watu wanasoma kabisa? Enzi hizo nilikuwa naandika magazeti hakuna anayesoma na hata ninayebishana naye naye hasomi tena anabaki kunitukana tu!
 
Back
Top Bottom