Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,849
Nimeziba babe wangu, sitaki kufunyua ya nyuma tuanzie hapa my love [emoji177]Kabisa ziba maskio babe tujenge penzi letu[emoji8]
Nimeziba babe wangu, sitaki kufunyua ya nyuma tuanzie hapa my love [emoji177]Kabisa ziba maskio babe tujenge penzi letu[emoji8]
Hao ni excluded kabisaaaa bahat nzuri Nina experience nazo mjep hapo hakubahatishaMkuu nina imani hapo kwenye toyota umeiexclude LC VX.R V8. Hapa mjep alitulia asee.
Huyo mwanao anaonekana mvimbaji sn.Dizain km unamdekeza sn[emoji41]View attachment 2037934Mie na my hommie kwa fasi tunawatakia Independence day njema[emoji41]
Babe hivi na ww una ex humu?Nimeziba babe wangu, sitaki kufunyua ya nyuma tuanzie hapa my love [emoji177]
Hahahahah homegirl huyo anavimba kweli yani😅 “Little friggin Pussy”Huyo mwanao anaonekana mvimbaji sn.Dizain km unamdekeza sn[emoji41]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
NakutafutaHuyo mwanao anaonekana mvimbaji sn.Dizain km unamdekeza sn[emoji41]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Hio chombo watu wanaichukulia kizembe sana yani wanahisi experience yake ni kama Vits 😂Mkuu nina imani hapo kwenye toyota umeiexclude LC VX.R V8. Hapa mjep alitulia asee.
Nimefika mwisho wa barabara nikashindwa kuendelea mbele.Hahaa milima imekuzuia kivipi mkuu [emoji16][emoji16]
Toa Tu miwani bro nione vizuri maana nililala Sana,ndy naamka now[emoji16]View attachment 2038021Time to make a move🛺
Hio siri ya kambi, hongera sana man sisi ndio tunaenda kulala sasa😅Toa Tu miwani bro nione vizuri maana nililala Sana,ndy naamka now[emoji16]
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Nikuwa sielewi hata zimeishaje ila zinaisha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hataree sana.
Dah usinipe hongera maana kukesha kunauma sn.Night shift haizoeleki aseeHio siri ya kambi, hongera sana man sisi ndio tunaenda kulala sasa[emoji28]
Zama mitamboni mkuu😂 si ni mambo ya hela!Dah usinipe hongera maana kukesha kunauma sn.Night shift haizoeleki asee
Hapa ndy naingia mzigoni Ila nimechoka sn,walionisalimia wote nimeitikia Kwa kichwa[emoji16]..Mdomo Una ganzi hautaki kuffunguka.Yaani nimechoka Hadi kuongea naona uvivu
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Kweli asee..Alafu mood ishakata.Jamaa wiki sasa kila nikiingia kwenye huu Uzi wanajadili ushoga Tu dah!!Zama mitamboni mkuu[emoji23] si ni mambo ya hela!
Paja Kama paja [emoji39]..Rangi chocolate9 disemba[emoji120]View attachment 2038638
Huu uzi una mashoga kwani🥸??? Dah ufala kweli yaniKweli asee..Alafu mood ishakata.Jamaa wiki sasa kila nikiingia kwenye huu Uzi wanajadili ushoga Tu dah!!
Uzi wanaumajisi Sana
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app