Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,148
- 190,635
Utashiba kweli hii?😅
Utashiba kweli hii?😅
Eeh sio kabisa yani aheri kutulia tulia tuHiki kipindi sio kizuri sana kwa safari, gari zinakuwa nyingi sana na hata walio nunua gari juzi na kujifunza kuendesha nao wanaenda makwao...
Eeh wanaenda kulinda brand sasa unakuta mtu mgeni hajawahi kusafiri hata safari ya 100km tu akiwa anaendesha mwenyewe. Yeye anaona akimbize gari tu bila kujali hata aerodynamics za gari af kutanua kiboya.Alafu kuna watu wananunua magar kwenda kuhesabiwa wakirudi wanauza tena
Njema sana mkuu!Habari za asubuhi mpendwa
Akhsante na kwako pia mkuu
Changamoto kubwa sanaEeh wanaenda kulinda brand sasa unakuta mtu mgeni hajawahi kusafiri hata safari ya 100km tu akiwa anaendesha mwenyewe.
Holy shietlady you been blessed! One thing thats missing is a Nigga to Pet that glorious fine body.











!Si unasema naweza nikapita hapo ulipo kwenda jana hata nikakusalimia mkuuHahahaaa .. hapana
Kidole kiko empty mkuu, feb sio mbaliHoly shiet 😍 lady you been blessed! One thing thats missing is a Nigga to Pet that glorious fine body.
sema ndio ridhiki ya mbwa ipo miguuni pakeEeh sio kabisa yani aheri kutulia tulia tu
Wacha tu Nex year iko jirani tuKidole kiko empty mkuu, feb sio mbali
Hahahahahaah dec to rem, anyway wanasema zembea utakuta mwali kachukuliwaWacha tu Nex year iko jirani tu
Eh chombo iko kwenye display ni kasi ya wenye visu tu😅Hahahahahaah dec to rem, anyway wanasema zembea utakuta mwali kachukuliwa
Mkuu kwani wajumbe wanasemajeEh chombo iko kwenye display ni kasi ya wenye visu tu😅
Wajumbe hawana neno kazi iko njemaMkuu kwani wajumbe wanasemaje
Na hatutaki ugomvi na kamatiWajumbe hawana neno kazi iko njema
Aah sana tu, soko huria😅Na hatutaki ugomvi na kamati
Yes waweza mkuu !Si unasema naweza nikapita hapo ulipo kwenda jana hata nikakusalimia mkuu