Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mafinga anyone here? Leo naweka pozi hapa safari ni utalii [emoji482]
IMG_20211209_192753_099.jpg
 
Basi mimi nina tatizo; nayapenda yale maherufi yake makubwa[emoji87][emoji87]
Haha mie naonaga maherufi makubwa yanapendeza jina likiwa fupi mfano RRONDO ila jina likiwa refu dooh. Imagine yule interlacustrine region ajiite INTERLACUSTRINE REGION si atakuwa ni kama anatufokea sana jamani. [emoji85][emoji85]

Au yule anayejiita JABALI LA KARNE huoni kama anatutisha eti (kidding). By the way mie hata sinaga shida na id ya mtu hata SYB nilikuwa namzingua tu na nilijua angepotezea kumbe akaamua kubadili kweli mwee jamani. [emoji2297][emoji2297]
 
Back
Top Bottom