ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,441
- 119,011
Nilikuchokoza wapi tena jamani!Me ningekuwa mkorofi juzi kati hapo si ulijaribu kunichokoza?? Mbona nilitulia![]()
Nilikuchokoza wapi tena jamani!Me ningekuwa mkorofi juzi kati hapo si ulijaribu kunichokoza?? Mbona nilitulia![]()
Yes man

Nishawai safari na X5 masaa 15 nilinyoosha mikono na ndo nikaamini kuwa toyota zetu ni vyombo vya usafiri. mjerumani ametuliza akili sana kwenye gari zakeYes man![]()
Thanks ngosha majamaa wamenikamata njiani wanadai et hela za sikukuu hii nchi tabu sanaSafiri salama mkuu
Mjerumani huwa hakosei - iwe ni Benz, VW....
Pouwah, niaje?
Ni kweli mkuu mjerumani sio kanjanja kwenye hii tasnia jiko linakubali ( injini ) mpaka unasema Hawa Babu zetu enzi hizo walikuaga wanafanya nini duniani zaidi ya kuwinda huku wenzao wakifanya innovation s mbali mbaliNishawai safari na X5 masaa 15 nilinyoosha mikono na ndo nikaamini kuwa toyota zetu ni vyombo vya usafiri. mjerumani ametuliza akili sana kwenye gari zake
🤣🤣🤣🤣Mali safi kabisa hii halafu unaweza kuta ipo single eti!!
Ni kweli mkuu mjerumani sio kanjanja kwenye hii tasnia jiko linakubali ( injini ) mpaka unasema Hawa Babu zetu enzi hizo walikuaga wanafanya nini duniani zaidi ya kuwinda huku wenzao wakifanya innovation s mbali mbali


babu zetu sio makosa yao na wao.. Germany car ni the best.Mkuu unawateteababu zetu sio makosa yao na wao.. Germany car ni the best.

Mkuu unawatetea![]()


mbona ata sisi wajukuu tunazingua sio kosa lao kabisaNdiyo naandika magazeti hapa, jiandae.Mi sitaki magazeti yenu, ngoja kwanza nifurahie haka ka dhambi..nitakaacha tu!










Hahaaa siku hizi nimepunguza sana asee yaani eti naandika magazeti na kuna watu wanasoma kabisa? Enzi hizo nilikuwa naandika magazeti hakuna anayesoma na hata ninayebishana naye naye hasomi tena anabaki kunitukana tu!![]()
![]()
Khaa hivi kumbe ulibadili kwa sababu ya ushauri wangu mie nilijua hilo wazo ulikuwa nalo tangu mwanzo? Jamani jamani kwahiyo ukaona usizunguke sana ueleze kabisa hali halisi kwamba kuna mtu ndiyo kataka nibadili!Nashaurika kirahisi sana. Tena kwenye reasons for change niliandika "Karma wants me to do so". Mchezo kwisha![]()




Sana! Kitu cha baridiiii1991?? Sio 2011 kweli
Loshoroo inanoga wakati wa jua jua.
Kweli niliandika hivyo. Nilifikiri wataishia kunitandika ban lakini hata saa haikupita nikakuta wameshabadilishaKhaa hivi kumbe ulibadili kwa sababu ya ushauri wangu mie nilijua hilo wazo ulikuwa nalo tangu mwanzo? Jamani jamani kwahiyo ukaona usizunguke sana ueleze kabisa hali halisi kwamba kuna mtu ndiyo kataka nibadili!
Ila kweli mwenyewe pale kwenye kuweka sababu za kubadili id mwanzo nilikuwa nakuna kichwa nikidhani kwamba wanataka sababu konki! Ila nilivyojua hata ukiandika yoyote wanabadilisha aahh nikawa najipachikia tu uongo!![]()

Kumbe tulikua wengi ambao yale maherufi makubwa yalikuwa yanatutisha




Nawafahamu hao jamaa. Kuna wakati wanaudhi mpaka basi. Agana nao vyema na cha muhimu tu uwe mwangalifu. Mwisho wa mwaka huu purukushani nyingi sana barabarani...Thanks ngosha majamaa wamenikamata njiani wanadai et hela za sikukuu hii nchi tabu sana
Mwee mwee mweeee

