Selfika na JF: Snap it. Show it

Watu wanaenda kanisa kama tamaduni mkuu. Mtu hawezi kuwa anafurahi juu ya dhambi flani au kuisifia nikamuunga mkono ni sawa na kushiriki dhambi zake.. kitu ambacho hakina afya kwa nafsi yangu na roho yangu.
Onyesha watu walipofurahia huo ushoga.


Zaidi watu wapo kuuupamba ulevi kwa hali na mali na hauwaoni.
Na hata wewe kwenye mfano wako unampamba aliyesema amemkula mwanamke ambayo nayo ni dhambi,ila umeona ana afadhali.

Kama ni hivi hata wewe unaenda kanisani kukamilisha ratiba tu.
 
Hivi hili jambo mnalo linganisha mpotayali kulipokea majumbani kwenu au vile lipo kwa wenzenu mnaona sawa tu.

Hivi kweli mtoto wako wakiume akuletee mabasha ndani mwako?

Tuukatae ushoga japo kwa kunyamazia hatua zao
 
Hivi hili jambo mnalo linganisha mpotayali kulipokea majumbani kwenu au vile lipo kwa wenzenu mnaona sawa tu.

Hivi kweli mtoto wako wakiume akuletee mabasha ndani mwako?

Tuukatae ushoga japo kwa kunyamazia hatua zao
Hatuongelei mapokeo ya hilo jambo nyumbani mkuu.

Jitahidi kuanza kusoma mada mwanzo ilikoanza kiliko kurukia mwisho.
 
Mie ndo maana nilisha achana nae yule, na nilishamuambia asijadili kupitia dini, maana najua ni mweupe wala hajui lolote, akajifaragua ataleta hoja za kisayansi lakini holla,


Achana nao hao wala hawana maajabu yeyote.
 
mbavu zangu mie, uwiiiiiih
 
atakutana na kitu kizito hadi ashangae.
 
Hebu toa ya kwako yanayotofautisha hizo dhambi,na uweke hayo yanayotoa uafadhali wa dhambi.
Mimi sipo kwa mjadala wala sina maandiko nauliza hivi anaetazama kwa matamanio akapata zambi na alietekeleza tendo watalipwa sawa kama hawajatubu?
 
Ahsanteeeeh cc angu,
 
Kwahiyo kumbe unazungumzia uzito wa mapokeo kwa wanadamu wenzio? Ila kwa MUNGU yote iko ktk mzani sawa? Ndo unafiki wanaoukataa wenzenu huu. Kumbe somo mmelielewa ila mnatafuta Pa kujificha
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…