Selfika na JF: Snap it. Show it

Nendeni basi mkagombane[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnatusumbua kwenye uzi wetu.


Wale wote wenye vita nashauri fungueni uzi mkazinyuke huko,,,vita yenu msipiganie selfika.

Resistance zenu kazifungulieni uzi.
[emoji106] tuselfike
 
Oooh! Thanks mai furendi...

Na uzee wote huu kuanza tena kutukanana na wajukuu humu dah! Wengine huchukulia kama ni udhaifu hata huku mtaani lakini kuna faida nyingi sana kisaikolojia kuwa calm. Hupati mahomoni haya ya stress hovyo hovyo na roho yako inabakia kuwa nyeupe.

Isitoshe niko mahali yaani social life imeharibiwa sana na Korona. Kwa hivyo JF hapa ndiyo kijiwe changu cha kahawa kuja kutaniana na kucheka. Sasa niache tena kucheka na kufurahi niingie kwenye kutukanana? Hapana. Ndo maana nilikimbia hata jukwaa la siasa japo mara moja moja nikitamani kuyakoga matusi naendaga huko kuchokoza watu tu [emoji16][emoji16][emoji16].

Yeah! It costs us nothing to treat everyone with respect hata kama hatujuani. Actually that's a reflection and a true measure of a man's integrity and self awareness. Kuna mambo mengi ambayo, kama binadamu, hatuwezi kuya-control. Nguvu zetu, hata hivyo, zimo katika namna tunavyo-respond.

Asante sana Karma [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…