Requal
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 1,025
- 1,923
WeweMikusu nasikia yanatumika kuongeza hamu na utelezi kwa wanawake
WeweMikusu nasikia yanatumika kuongeza hamu na utelezi kwa wanawake
Mikusu hiihii!!! Iringa ipo mingi mno ila sijaskia sifa zakeMikusu nasikia yanatumika kuongeza hamu na utelezi kwa wanawake
Le belle fille

Hahahahahaha fala sana huyooJamaa mmoja alikuaga akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari castle kili then anatafta meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabid amuulize kwanin anafanya vile kuagiza bia tatu tofauti na kunywa zote? Yule jamaa alimjibu kua waliekeana makubaliano na rafik zake wawili ambao aliishi na kufanya nao kaz kwa pamoja kwamba endapo wangetengana au kuhamishiwa maeneo tofauti bas kila mmoja popote atakapokua akienda bar kunywa bas awanunulie wenzake bia walizokua wanatumia na azinywe ikiwa sehemu yakuwakumbuka nakuenzi undugu au urafik wao kwahiyo hata jamaa nao walikokua walifanya the same.... Siku nyingine tena mambo yalikua tofauti, jamaa aliingia bar nakuagiza bia mbili tu castle na kili, mhudumu alishangaa tena ikabid amuulize kulikoni au kuna mmoja amefariki kati ya wale marafiki zake? Jamaa akamjibu hakuna aliyefariki wote wapo isipokua yeye ndo kaamua kuacha pombe...
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app


Mbona wote mademu hao mzee...au umekosea sio video clip hii??Huyu manzi namfollow TikTok, hua anapenda sana kumpost huyu bro wake. Aisee still hua namashaka kama huyu bro wake ni straight dudeView attachment 2033446
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Mbona wote ni girls haoHuyu manzi namfollow TikTok, hua anapenda sana kumpost huyu bro wake. Aisee still hua namashaka kama huyu bro wake ni straight dudeView attachment 2033446
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Ndio hiyo mkuu, ni msela kabisa.View attachment 2033484View attachment 2033485View attachment 2033489View attachment 2033486View attachment 2033487View attachment 2033488Mbona wote mademu hao mzee...au umekosea sio video clip hii??
Mikusu nasikia yanatumika kuongeza hamu na utelezi kwa wanawake
Hatimaye Leo umekiri kwamba wewe ni wa ushuani😅🙄🙄🙄 Mie kama kinyonga nina rangi zote nafiti kila idara.. Ushuani huku yamejaa matoto hatari acha nisake tu hela banaaa
Mwanangu karibu chai aseeHatimaye Leo umekiri kwamba wewe ni wa ushuani😅
Dar sipawezi wallah
Nishazoe kule yaan si unajua msimu wa pitiku na bundula huuwacha nikaule na dagaa nyasa
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app



yaan tena saiv bundula inakua km kimea. Kastori kafupi Ila katamu na kanafundishaJamaa mmoja alikuaga akifika bar anaagiza bia tatu tofauti safari castle kili then anatafta meza yenye viti vitatu anakaa nakunywa zile bia moja bada ya nyingine zote tatu nakuondoka. Alirudia hii tabia mara kadhaa ndipo mhudumu wa ile bar akashindwa vumilia ikabid amuulize kwanin anafanya vile kuagiza bia tatu tofauti na kunywa zote? Yule jamaa alimjibu kua waliekeana makubaliano na rafik zake wawili ambao aliishi na kufanya nao kaz kwa pamoja kwamba endapo wangetengana au kuhamishiwa maeneo tofauti bas kila mmoja popote atakapokua akienda bar kunywa bas awanunulie wenzake bia walizokua wanatumia na azinywe ikiwa sehemu yakuwakumbuka nakuenzi undugu au urafik wao kwahiyo hata jamaa nao walikokua walifanya the same.... Siku nyingine tena mambo yalikua tofauti, jamaa aliingia bar nakuagiza bia mbili tu castle na kili, mhudumu alishangaa tena ikabid amuulize kulikoni au kuna mmoja amefariki kati ya wale marafiki zake? Jamaa akamjibu hakuna aliyefariki wote wapo isipokua yeye ndo kaamua kuacha pombe...
Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
Ndo masuku hayo yanaitwa,Matunda flani matam kama sijasahau yaliitwa mikusu. Nashukuru ulanzi sikuwahi kuugusa.


