Selfika na JF: Snap it. Show it

Unaanzisha tu hata kwa ajili ya kuchitchat.
Sawa mkemia wetu.

Kuna mwenzio jana ndugu yangu amenivunja mbavu,View attachment 2031946View attachment 2031947
Hahaaa naunga mkono na mguu hiyo hoja kweli wine ni juice iliyochangamka! Wine ni kwa ajili ya wale ambao ndiyo wanajifunza ulevi wanataka kuingia chamani huwa hatuwapi beer, whisky, wala spirit tunawapa wine tena zile nyepesi kama Saint Anna na Dompo wakizoea ndiyo wanahamia huku!
 
Amen mdogo wangu
 
sasa si watoke kwenye uzi, kwani wameitwa hapa?
Au hawajuo namna ya kuleft? Waseme tuwasaidie jinsi ya kulog out. Kupunguza makasiriko yao.
 
Ahsanteeeh cc
 
 
Halafu kwani si mlikuwa mnapiga stori tu kuhusu mionekano yenu!
Kilichowawasha kuingiza hizo habari zao nyingine ni nini?

Umezuka mtindo humu jf wavuta bangi wachache wanavamia comments za watu na kuanza kubwabwaja vile wanataka.
Afadhari umejua hili, nlidhani ni peke yangu, na siwezi kuvumilia stress za mtu anipumzikie mie, akat sihusiki nae, nakula nae sahani 1, hadi kieleweke,
 
nimecheka paragraph ya mwsho, jinsi ulivowasilisha. Khaaaah
 
Mimi nilipewa wine na nikashindwa kunywa.

Mbaya mno aisee..


Huyo mwamba alinichekesha sana,nikichati naye huwa nacheka mno..ananivunja mbavu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…