Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan leo umejua kuwapa watu challenge, wakabaki kutoa hoja zisizo na mashiko, mie ndo nlikua nasoma huku nakufa mbavu yaan, mweeeeh.
 
Wapendwa Mwenyezi Mungu awe nanyi, wokovu wake u-dhahiri kwa wenye utayari.

Tuzipinge na kuziacha dhambi

Usiku mwema.

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Ndio hapo sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mommah hakika shule ulienda kuchukua maarifa sio kusoma, wallah na niko serious, naomba tukutane nina zawadi yako kubwaaa, yaan nimesoma huku nashusha tabasamu zito lenye uvugu vugu la furaha,

Nakuambia wazi kwa madini haya, kuna watu wanaumia na kuteseka ndani kwa ndani, wasomapo hii convoy yako, ba hawaamuni ndo wee unapasua ukweli iv.

Ubarikiwe sana. [emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada leo umeamua wallah, mie huku natabasamu tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…