Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,679
- 208,843
Jamani Tinsley unajua kubana kama serikali ya sisiem[emoji298]View attachment 2031684
Hahahaha jamani ipo siku nitajiachia ,Jamani Tinsley unajua kubana kama serikali ya sisiem
Iwe sahivi basi dada mzuri š„°Hahahaha jamani ipo siku nitajiachia ,
Wa manzese mimi naogopa
Haha mara moja moja tu huwa napata kama hivi [emoji16][emoji16]Ni kweli unapata hii kitu au umeibia tu watu wanapiga vyombo?
Sanaaa [emoji2960][emoji2960]Bia tamu eeeh?
No tipsš
Ngoja niitafute kwenye gallery.. [emoji2956]Iwe sahivi basi dada mzuri [emoji3059]
āŗāŗNo tipsš
OMG una dimples, una shingo nzuri, una dental formula nzuri, una tabasamu zuri. Aiseee uko vizuriš