Selfika na JF: Snap it. Show it


Yaani ukae kimya!
Nimecheka sana.
Nisomee wapi,nishatupia kwenye zile takataka zangu kwa kile kitufe.

Bangi ni mbaya.
Ah huyu si ashawahi kupachika ndugu zake kwenye comment yangu.
Akawapachika na kina Billgate kwahiyo wala sishangai. .bahati nzuri nilikuwa kwenye mood yangu nzuri ya maombi.


Hata hii mada naona alijipachika kwenye comment zenu.
 
Oooooh!!! Kumbe ndivyo ilivyokuwa?

Sasa nimeelewa..Ahsante kwa ufafanuzi mdogo wangu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu walikuwa wanajichatia tu vizuri humu kuhusu utomboy sijui utom girl,,watu wamevamia comments zao na kuingiza hizo za ushoga.
Yah..tusonge mbele sasa wakuu,tumefunga mjadala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…