Selfika na JF: Snap it. Show it

Hujui mfumo wa magri hauna tofauti na binadamu
Ukuje tutakupima na tutaonesha kila kitu
Si unaona sasa yaani unafananisha hadi udaktari na uinjinia. Mwili wa binadamu una taratibu zake za kufanya kazi na kujiendesha, hauwezi fananisha na mashine ambazo binadamu una uwezo wa kuzitune tu na kuzifanya zifanye kazi na zijiendeshe kama unavyotaka wewe, sasa jaribu hivyo kwenye mwili wa binadamu ndiyo utajua kwanini hujui.
 
nikiwa mkubwa sana, nitajaribu kugegeda tomboy nione inakuwaje kuwaje.. but wanabaki kuwa wanawake tu japo wanajionaga wasera
 
ECU = Brain , Engine = Tumbo au niendelee πŸ₯ΈπŸ₯Έ
 
nikiwa mkubwa sana, nitajaribu kugegeda tomboy nione inakuwaje kuwaje.. but wanabaki kuwa wanawake tu japo wanajionaga wasera
Haha ni watamu kama wanawake wengine tu kwani unafikiri wana utofauti basi? Tena kuna wengine wako vizuri kwenye six by six wanajituma sana kuliko hata masister du!

Hapo kwenye kujiona wasela pia siyo wote! Wanaojiona wasela ni wale lesbians ambao wamejipa jukumu la wanaume hadi kitandani ila the rest ambao hatuhusiki huwa tunajiona wanawake kama wanawake wengine tu sema ndiyo tunakuwa tumeshindwa tu kujiweka ili kisister du kama wenzetu!
 
Asee hata mie kwa macho nikiwaonaga navita picha ya utamu wao pia mnakuwa na funy sana kwa bedi, sio hivi vinavyojiona pure breed πŸ˜’πŸ˜’πŸ˜’
 
ECU = Brain , Engine = Tumbo au niendelee πŸ₯ΈπŸ₯Έ
Hahaaa ndiyo ninyi mnaosema gari ni living thing iliyopooza. Eti kisa tu inakula, inajisaidia, inaumwa, inakufa nk
imeshindwa tu kukua na kuzaa, mnasahau kwamba kitu chochote kikikosa sifa hata moja tu ya living thing hicho tayari ni non living thing sasa gari ishakosa sifa mbili hapo hivyo hauwezi fananisha mashine na mwili wa binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…