Ndo nakuja kuja jijin wakat huo, [emoji23][emoji23][emoji23]Nani huyo jamani??? Wewe mjanja tena sana bana achana na majungu yawaja!!
Shuka nyeupe nazipenda sana, [emoji7][emoji7]
Uyo mwenye la kuchumpa la kumpa rama yuko wap sahz 😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣
Umenikumbusha mbali sana. Kuna kipindi mvua ilikuwa inanyesha sana...sasa nilikuwa na soksi mpya nyeupe na nilikuwa natamani kuzivaa balaa. Nikaambiwa nivae pundamilia za siku zote mpaka mvua ziishe kwaajili ya matope.
Utoto ulivyo mbaya...nikajiibia pair nikavaa. Zilivyochafuka sasa 🙄🙄 Wakati wa kurudi nikasema hapa cha msingi nizitupe 😁🙈🙈 So nikavua nikatupa kabla sijafika home...alafu nikazuga kama vile sikuwa nimevaa soksi that day!😏😏
View attachment 2028650
St. Kayumba kama St. Kayumba 🙂
Ely Kwa mwanaume imekaaje hii yani sentensi itakaaje mfano mwanaume wangu awe anatomba mwanamke mwingine.. sentensi itakuaje??[emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji849][emoji849] " Hakuna kitu inauma kama kujua .................." Hebu malizia hii sentensi
Yaan huwaa nakua na amaan sana, cna shuka za rangi mie,Ndio maana hotelini na hospital wanapendelea. Itakua zinaleta utulivu wa akili na ishara ya usafi pia
View attachment 2029762
View attachment 2029764
Mommah, nigawie vidole vya miguu, [emoji7][emoji7][emoji7]
Huu urefu n hataree, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maisha tu mama kutafuta mpka nikasahau kuja ukuMiss u xaan, ulipotea mno kulikoni?
Thanks for the blessings best Nilikua kavuta kumbukumbu hazijiii dahhh! Miss you more rafiki ukuwe na usiku mwema!! Long time aisee!Mungu ni mwema!
Ntafanya hivyo kadri nafasi inavyopatikana. Uendelee kwa Rafiki mwema. Kama ambavyo imekua tokea nikiwa naitwa Samaritan.
Barikiwa sana
Best una makusudi jamani!! Sio kwa Usafi huo mwanaume dohh!!!Ndio maana hotelini na hospital wanapendelea. Itakua zinaleta utulivu wa akili na ishara ya usafi pia
View attachment 2029762
View attachment 2029764
Jiandae na ugeni kwenye ofisi ya waziri mkuu 😍Oteeni nacheza wimbo gani!View attachment 2027988
Kwa nyimbo hapo itakuwa “oh swiry swiry swiry haikuwa rahisiiii....”Oteeni nacheza wimbo gani!View attachment 2027988
Hahahaaa... Sijui hata niliwaza nini!!!Umefikiria nini mpaka ukauliza hili swali?
Kwa vile mwanaume huwa hat*mbwi, ni wazi hawezi kubebeshwa kauli ya utendwa (kut*mbwa) na utendewa (kut*mbewa). Hapo itakubidi tu useme
"Hakuna kitu inauma kama kujua mwanaume wako anat*mba mwanamke mwingine"