Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

 
Speed test std 7. Hisabati maswali 50, nikajibu maswali 49 swali la mwisho nikaweka signature kwenye jibu. Nikascore 49/50, aisee mwalimu alinitia stiki nyingi akaona ni dharau. Nilipelekwa ofisi ya walimu aisee usiombe ukapelekwa ofisini halafu walimu wakaalikana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna namna unajiona mwamba sana japo huonyeshi.
Hapo paper ya kipanga inaanza kuzunguka darasani[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huo mtindo ndo walimu wengi wa hisabati wanao, af level zote, yaan anaanza kupokea wa mwisho, mwsho anapokea wa kwanza, ila vile uuaji aseeh.
 
Back
Top Bottom