Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Hapana mkuu, maadhimisho ya tar 01 December, siku ya ukimwi. Mie sina timu, moyo wangu mdogo sana kuumia kwa kitu ambacho siweziongeza bidii tushinde ila nafaidi maumivu.

View attachment 2029659
Ndy umebadilisha na shati kbs mkuu?😅 Natengua kauli yangu wewe siyo Simba ahaha

Tuko pamoja mkuu 🙏
 
Hakuna kitu kinauma kama kujua unat@#mb...e!!wa mke/mpenzi

Habari za kushinda mkuu
Ely Kwa mwanaume imekaaje hii yani sentensi itakaaje mfano mwanaume wangu awe anatomba mwanamke mwingine.. sentensi itakuaje??[emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji854][emoji849][emoji849] " Hakuna kitu inauma kama kujua .................." Hebu malizia hii sentensi
 
Kwema kabisa mkuu wangu T 1990 ELY ..
Kugongewa siri za ndani hizo... lazima kutunziana aibu ili mambo yaende [emoji3][emoji3]
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mkuu

Kutunziana aibu wapi bora nisijue kama nagongewa

Yaani pale naponiniliu mimi tena jamaa na yeye aniniliu hapo hapo

Hiiiiiiiiiiii Bhagosha
 
Ndy umebadilisha na shati kbs mkuu?😅 Natengua kauli yangu wewe siyo Simba ahaha

Tuko pamoja mkuu 🙏

Haina shida Kaptein. Uwe na usiku mwema mkuu

Screenshot_20211201-195443.jpg
 
Vizuri sana kama ni kwema kabisa mkuu

Kutunziana aibu wapi bora nisijue kama nagongewa

Yaani pale naponiniliu mimi tena jamaa na yeye aniniliu hapo hapo

Hiiiiiiiiiiii Bhagosha
😀😀😀 Kujiamini mkuu, naamini hadi mwanamke anauza game tatizo ni mwanaume na mwanaume hadi anauza mechi tatizo ni mwanamke... hakuna wa kumalumu mwenzake... issue ni kuweka mpila kati na kuanza upya , ili kuokoa jahazi maana pia kuachana sio issue
 
Back
Top Bottom