Satoh Hirosh
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 7,149
- 28,859
Lol nilishaponaga!!! Unaeza kunifata tu nikapatamo lift mara moja moja! Kitambo sana aisee! Kwema huko!!??
Well said mkuuHayo mambo situmii mkuu! Umri ulishanitupa mkono. Purukushani zingine unawezafupisha siku za kuishi. Huu sio wakati wa matukio, ni kufanya yale yanakupatia furaha sio karaha ( ogopa sana kuweka furaha yako mikononi mwa mtu mwingine).

Safi sana hiii. Ina sound matured enough! Great!!!!!Hayo mambo situmii mkuu! Umri ulishanitupa mkono. Purukushani zingine unawezafupisha siku za kuishi. Huu sio wakati wa matukio, ni kufanya yale yanakupatia furaha sio karaha ( ogopa sana kuweka furaha yako mikononi mwa mtu mwingine).
Bei rahisi, utengenezaji wake ukoje?7,500



nlipata aibu mie, nkaambiwa iv "yaan ujanja wote huu kumbe mshamba tyuuh" Kujibu nini.. nahisi nishajibu yote hebu nikumbushe basi umri tatizo umri ii nshaanza kusahau sahau



Tabia yakufuta picha sio nzuri hebu ntumie dm basi😅Hahah ankoo 😉
Ely ila kwanini hujalala? 😀😀
Nani huyo jamani??? Wewe mjanja tena sana bana achana na majungu yawaja!!nlipata aibu mie, nkaambiwa iv "yaan ujanja wote huu kumbe mshamba tyuuh"
Sitasahau kwakweli lol.
Mbna km ina maji sana?Najaribu kuila kabichi nashinwa,View attachment 2029578
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Inauma kama jino bila ganzi😅Ushaifuta dah!
Hakuna kitu kinauma kama kukuta picha inasifiwa halafu imeshafutwa!
Hivi kuna swali umeniuliza natakiwa kukujibu?Hivi amenijibu???!!![]()

Pc imekaa fresh, n nzuri.Wednesday tulivuView attachment 2029600
Lol nilishaponaga!!! Unaeza kunifata tu nikapatamo lift mara moja moja! Kitambo sana aisee! Kwema huko!!??
Shuka nyeupe nazipenda sana,

