T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,090
- 30,489
Naomba kujua kuwa unaishi mwanza?Mara nyingi naishiaga nje ATM!
Naomba kujua kuwa unaishi mwanza?Mara nyingi naishiaga nje ATM!
Haha...Kumbe haikuwa kwenye maonyesho tu bali ulijifunza vingi eti eeeeeh!!JI'SHIMBA[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha ha..Simiyu haikuwa bure Ely[emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na komwe hua linaanza kuonekana hapo😂😂Lenie mbingu utaishia isoma kwa biblia. View attachment 2028501
LenieNa komwe hua linaanza kuonekana hapo[emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaha[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha mbali sana. Kuna kipindi mvua ilikuwa inanyesha sana...sasa nilikuwa na soksi mpya nyeupe na nilikuwa natamani kuzivaa balaa. Nikaambiwa nivae pundamilia za siku zote mpaka mvua ziishe kwaajili ya matope.
Utoto ulivyo mbaya...nikajiibia pair nikavaa. Zilivyochafuka sasa [emoji849][emoji849] Wakati wa kurudi nikasema hapa cha msingi nizitupe [emoji16][emoji85][emoji85] So nikavua nikatupa kabla sijafika home...alafu nikazuga kama vile sikuwa nimevaa soksi that day![emoji57][emoji57]
View attachment 2028650
St. Kayumba kama St. Kayumba [emoji846]
[emoji1787]makopa mengi kwako, toto ya kike, iko nzuri sana[emoji3590][emoji3590]Saguda [emoji2957][emoji2957]
Wewe utakuwa huyo wa katikati Lizzy [emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenikumbusha mbali sana. Kuna kipindi mvua ilikuwa inanyesha sana...sasa nilikuwa na soksi mpya nyeupe na nilikuwa natamani kuzivaa balaa. Nikaambiwa nivae pundamilia za siku zote mpaka mvua ziishe kwaajili ya matope.
Utoto ulivyo mbaya...nikajiibia pair nikavaa. Zilivyochafuka sasa [emoji849][emoji849] Wakati wa kurudi nikasema hapa cha msingi nizitupe [emoji16][emoji85][emoji85] So nikavua nikatupa kabla sijafika home...alafu nikazuga kama vile sikuwa nimevaa soksi that day![emoji57][emoji57]
View attachment 2028650
St. Kayumba kama St. Kayumba [emoji846]
Mhala sana bhageshi[emoji1787]makopa mengi kwako, toto ya kike, iko nzuri sana[emoji3590][emoji3590]
Km napafahamu iv?Jua kali..View attachment 2028320
[emoji7][emoji7][emoji7]
Kwa bibi hiyoooh, [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nehii nehiii!!! Mi wajeiefu tulishashindwanaga longiii[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!![emoji854]
Mhola sana nkoyï, gneheMhala sana bhageshi
Hujambo mamyAbee
Kijana wa kiume vipi[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ulipotaja jina langu tyuuh, umeharibu kila kitu, utakuja utukanwe na ukemewe pepo, huyo memba wa jina la soda ana damu ya kunguni shauri yako, lol.
Nlkua sizitak hizi mie [emoji23][emoji23][emoji23], nishawahi gombana na mwalimu assembly, akanijibu "wee mtoto ukikua utasumbua" taarifa ikafka home nlijuta kuzaliwa.