Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Walimu Kama nyinyi sijui mlikuwa wapi enzi zetu wakati tunajua dah
Kwanini mkuu?
Unadhani huwa nacheka cheka shule?
Tena mimi wananiita madame mnoko . Na viboko vyangu vinauma hatari.
Na nikiamua kula sahani moja ni mwanafunzi atakiona cha moto.
Na nguo ni nguo za vitenge na zinazopwaya, ukiniona haudhani ni mimi..
 
Wewe viboko vyako havijamzid rc mbeya.

Bigup madame
 
Back
Top Bottom