Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 10,146
- 41,401
Niliona umeweka ila nikajua sentence inaendeleaHapana sentesi imekamila mbona tayari. Una kifua kizuri
Niliona umeweka ila nikajua sentence inaendeleaHapana sentesi imekamila mbona tayari. Una kifua kizuri
Umeshashindwa mshana.Sikubali picha mpaka tuonane ndio nitatoa uamuzi




Jamani eeh, msione kimya , nitatupia yangu muda si mrefu, tuombeane tu uzima hela ya jinzi na viatu vipya ipatikane.






























yeah kwenye msosi yupo njema sanaKuna tenda nzuri nataka kumpa... Chakula chake kizuri
Hapana mate, we siwezi kukufanyia umafia...We ni mdada mzuri na mstaarabu!Ndiwooo
Mwenyewe kidogo uniparue nikakimbia
Mkuu ile ziara hivi hukuifanya.
😆😆😆Ngoja tuoneNa ahakikishe anakuja na vitu vya ukweli![]()
Naomba unibariki Basi nicheke😄😄Kwenye tenge? Utacheka uvunjike mbavu bure
Hapana mate, we siwezi kukufanyia umafia...We ni mdada mzuri na mstaarabu!






Nitakuonjesha viboko vyangu.
Halafu sichapi tuu nachapa huku naongea nakusema.
kwa mitindo zaidi ya 7,Nimekubuhu mpaka inafika hatua,,,nimefanya JF nzima inajua