Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwanini mkuu?
Unadhani huwa nacheka cheka shule?
Tena mimi wananiita madame mnoko . Na viboko vyangu vinauma hatari.
Na nikiamua kula sahani moja ni mwanafunzi atakiona cha moto.
Na nguo ni nguo za vitenge na zinazopwaya, ukiniona haudhani ni mimi..
hapana wengine enzi tunasoma hatukuwa na walimu visu sorry I mean mapanga hivi😄😄😄
Natamani kweli nione tenge linavyokutoa
 
Back
Top Bottom