AmenHaleluya!













nimechonga funguo zangu...huwa silali nje nyumban kwangu nikiwa ndani ya dar hata saa 10 alfajir nitarud kwa kunyata
![]()
Unaanza kuwaka mapema hivii.. Kuwa tu makini usije anza toa siri za ndani humu.!!
Sink zuri saana
Hatari lakini salama mkuu..Mtoto hatar wewe
Unaanza kuwaka mapema hivii.. Kuwa tu makini usije anza toa siri za ndani humu.!!
Hata za ubaharia tu..!!Hahaha kama zipi?
Hata za ubaharia tu..!!
Enjoy mkuu.!!Hahaha siwezi....hapa nitachangamsha genge tu mda usonge
Haya tumaSiku hizi si tunatuma location tu..
Mama na mwanaView attachment 1223538
Enjoy mkuu.!!
Haya tuma
Kesho jioni na mimi natafuta mtoto,Mama na mwanaView attachment 1223538