Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,771
Satoh Hirosh ndugu yangu 🥲🥲🥲🥲
Satoh Hirosh ndugu yangu 🥲🥲🥲🥲
Hii ni bite bila shaka!!.
Asante Eizyek.
🤣🤣🤣🤣🤣Unataka kusema na wewe ulitii agizo la Paul Makonda la kuhama dsm kwa ambao hatukuwa na shuguli ya kufanya?
Pamoja na Uzee wangu ililazimu nihame dsm kukimbilia Mkoani 😜😜😜
Mnatufanya sie watoto 😅😅😅😅Nini braza?
Nina neno la akiba kwa ako kamdomo.
Jamani jamani!!Siku ukiacha kuzingua nitakupa zawadi
Lips traaaamuuuuuuu!!😘😘😘😘😘😘
Jina langu lilihama kutoka kuwa Baba mwenye nyumba hadi kuwa Mpangaji 🙆🤣🤣🤣🤣🤣
Siunaona vibanda vilivyobomolewa 🙄 Maisha ya Dar yamenizidi nguvu.
Naaam.
Nothing sisitaNini braza?
Mzeeiya!! 😀😀Mnatufanya sie watoto 😅😅😅😅
Morning glory eeh [emoji846][emoji846][emoji846][emoji846][emoji846]....
utetezi wako unafanya uwe mgumu zaidi ... inabidi ijumaaa tutakeshe morogoro
Inanogaje nogaje kwanza?
Kama grand malt??
Kumbe hata jikoni upo vizuri eeh[emoji38]Mje mjipakulie.. Na mje na vinywaji.. View attachment 2026192
Mtu unakula na kushibaHii ni bite bila shaka!!.
hakiwezi kuwa chakula serious mtu kushiba