Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Jamaa anatibua maji πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€, shida mkuu hatuna pesa.. kama pesa ingekuwepo mbona na sie tungekuwa nao.. acha tuzisake tu na sie tutapata wa kufanana na sie, ila sema ka Depal ni ka kisu sema ndio ivyo kama wahiwaaa πŸ˜…πŸ˜…
Nimewahiwa na nani? Acha kuniwekea kauzibe πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unataka kusema na wewe ulitii agizo la Paul Makonda la kuhama dsm kwa ambao hatukuwa na shuguli ya kufanya?

Pamoja na Uzee wangu ililazimu nihame dsm kukimbilia Mkoani 😜😜😜

Mie nilitii kikamilifu mzee mwenye nyumba aliposema ikifika July ataeendelea kubaki Dar ni mwanaume, nikaona isiwe tabu. Nikabeba kibaiskeli na nguo zangu huyoo...najipumzikia huku machakani

IMG_20211117_084502_4.jpg
 
Mie nilitii kikamilifu mzee mwenye nyumba aliposema ikifika July ataeendelea kubaki Dar ni mwanaume, nikaona isiwe tabu. Nikabeba kibaiskeli na nguo zangu huyoo...najipumzikia huku machakani

View attachment 2026104
Hongera Mkuu, sasa wajiandae kuuziwa Mchele 1 kilo @ 3,000 December hii. Niko mbioni kuwapelekea Mchele wa kutosha kutoka huku Kijijini πŸ’ͺ
 
Back
Top Bottom