Eizyek
JF-Expert Member
- Aug 12, 2019
- 800
- 2,776
Kesho uje uchukue basiAsante Eizyek.
Nataka keki yangu uliyonitunzia.
Kesho uje uchukue basiAsante Eizyek.
Nataka keki yangu uliyonitunzia.
Izi ndo bite basiHii ni bite bila shaka!!.
hakiwezi kuwa chakula serious mtu kushiba
Mdada wa dimpoz!
Tupia picha tusafishe macho ni kaubaridi haka!!Mpo kimyaa
Hatuna picha ndio maanaMpo kimyaa
Ondoa Mbeya na Tunduma, utanikuta Singida sasa huko kwingine sipapendi hataIjumaa naenda Mbeya-Tunduma-Arusha-Singida-Dar naomba lift
Weka picha uone watakavyotokezeaMpo kimyaa
Mkaka mwenye chebe lake amazingMdada wa dimpoz!
Duh! mkuu wakubwa mnafaidi sanaMdada wa dimpoz!
wakubwa wana raha. Nikiwa mkubwa........................Mkaka mwenye chebe lake amazing
😀😀 karibu.
Utafaidi na wewewakubwa wana raha. Nikiwa mkubwa........................
Mkuu nimefaidi nini? Au kusifia kidogo ndio nishafaidi eti!Duh! mkuu wakubwa mnafaidi sana
Nikiwa mkubwa ntatafuta hela nitume hahhahahahahhahahUtafaidi na wewe
Mkuu hujafaidi kwani?? mbona nimemsikia yule binti anaongelea mambo makubwa makubwaMkuu nimefaidi nini? Au kusifia kidogo ndio nishafaidi eti!
Satoh Hirosh ndugu yangu 😭😭😭😭 njoo tupeane moyo aseeLips traaaamuuuuuuu!!😘😘😘😘😘😘
Binti gani tena mzee? Mkuu yani huwezi amini mimi niko like fungu la kukosa..gundu sio gundu yani!Mkuu hujafaidi kwani?? mbona nimemsikia yule binti anaongelea mambo makubwa makubwa
Kama mimi? acha hizo bhana! mbona kuna uzi walikuwa wanasema Eli wa warembo?? Nyie ndio unafanya standards ziwe juu halafu tunaulizwa mbona huonekani genius kama eli???Binti gani tena mzee? Mkuu yani huwezi amini mimi niko like fungu la kukosa..gundu sio gundu yani!