Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kama mimi? acha hizo bhana! mbona kuna uzi walikuwa wanasema Eli wa warembo?? Nyie ndio unafanya standards ziwe juu halafu tunaulizwa mbona huonekani genius kama eli???

Wakubwa mnafaidi bhanaaaa
Kama yupo aliyesema hivyo alizingua tu, huwa nikisema nijaribu naangukia komwe mzee. Kuna watu na bahati zao humu.
 
Evening tea 🍵
20211128_180608.jpg
 
Back
Top Bottom