Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Wifi hana jina eenhYa wifi akoo
Wifi hana jina eenhYa wifi akoo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hhhaahah wifi ebu nigongee hata like kimyakimya nikujue
Hebu muuulize MshanaWifi hana jina eenh
Dada si unajua mimi naenda kutokana na upepoWewe si unasema ni bonge dada
AiseeeDada si unajua mimi naenda kutokana na upepo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kunielewa mimi inabidi upate tabu sanaItakuwa haeleweki kama mimi
Na kwako pia auntieUsiku mwema wapendwa, kesho nayo siku.
Hahahaha ndo maana umerara? Au upo unafakamia makulaji?
5n mliman tower hapo eeeeh... nimekumbuka kuku zao tu hapo kitambo sijapita hapoSafii....sogea 5n
Nitapajua tu jamani si maili moja insta babe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] insta babe unapajuuuuaaaa???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe na wewe unayo????Rudisha khanga yangu
Ipo kule juu post no 9224Weka picha tuone
Ndio mamii [emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kumbe na wewe unayo????
NdiwoooWifi
Safari njemaKwaherini kipindi. Cha pili hichooo[emoji23][emoji23][emoji23]
Una mapaja laini