Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huku sigusi hata kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna tege moja matata Tena miguu Kama chelewa.

Naomba mkifika huku msihangaike kunitafuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtoto kipotable, easy to carry 😘😘
Wacha porojo 😅
 
Magunia yapi? Nguo zako nzuri tena zinakupendelea zinakupa na hips[emoji13][emoji13][emoji13]
Hizo ndio za out mwenzio..
Hujaziona nyingine Sasa za kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magunia haya hapa...nikianza kupondwa Sasa...nawekaga pamba sikioni
Yaani Mimi..Nina matatizo Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashindwa kuendana na Kasi ya dunia
 
Mtoto kipotable, easy to carry [emoji8][emoji8]
Wacha porojo [emoji28]
Haki ya Nani hapa msihangaike.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Namaanisha ninachokisema jamani
 
Nimecheka jamani.
Tege utoe wapi katoto kamiss miss
Ona tu jinsi lilivyopinda hapo juu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sijui nilikosaga vitamin D wakati Mtoto..imenicost Hadi Leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo ndio za out mwenzio..
Hujaziona nyingine Sasa za kila siku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magunia haya hapa...nikianza kupondwa Sasa...nawekaga pamba sikioni
Yaani Mimi..Nina matatizo Sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashindwa kuendana na Kasi ya dunia
Hizo ndio nzuri na utapata mume anayezipenda hizo hizo usijali.
Na zinakupendezea wanaokuponda hawajui tuu.
Na pia wanaume wanazipenda sana hizo tofauti na hizi zetu.
 
#2
IMG_20191004_221640_652.jpeg
 
Hizo ndio nzuri na utapata mume anayezipenda hizo hizo usijali.
Na zinakupendezea wanaokuponda hawajui tuu.
Na pia wanaume wanazipenda sana hizo tofauti na hizi zetu.
Ewaaa...Bora umenisapoti kuwa Ni nzuri.
SI wananionaga mbibi.
Mimi sayansi na teknolojia imeniacha mbali Sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] +kukulia kijijini yaani mtu haniambii chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usiwasikilize mdogo wangu.
Usiwasikilize kabisa. Nguo zako ni zuri ,zinakupendeza,zinaendana na mwili wako.
Nguo za kisasa sio lazima ziwe suruali za kuchanwa chanwa kama niliyovaa dada yako leo, watu wamekariri tuu.
Wewe haujaona kila picha uliyoituma imetisha?
Hao wanaokuona mbibi wamekariri tuu hawajui kitu.
 
Back
Top Bottom