Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sababu wanaume wengi wa JF wamekula Red pills. Na ni ngumu wao kuwa manipulated ndio maana unawaona wako hivyo.
Manipulated? Hivi kwanini wanaume wengi mnaona kama kuwa fair kwa wanawake ni kuwa manipulated?
 
Huku sigusi hata kidogo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nna tege moja matata Tena miguu Kama chelewa.

Naomba mkifika huku msihangaike kunitafuta[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka jamani.
Tege utoe wapi katoto kamiss miss
 
We acha tu...
Mtu lazima awe na jicho la rohoni kuona.
Wanaoonekanaga Ni wale wa nguo za kushika.
Wenzangu na Mimi wa kuvaa magunia Ni kwa kudra za mwenyez Mungu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Magunia yapi? Nguo zako nzuri tena zinakupendelea zinakupa na hips[emoji13][emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom