Selfika na JF: Snap it. Show it

Zile ni shule za wazazi za CCM[emoji38]


Mimi nilikuwa nikifika pale getini ndio kwanza nachechemea vizuri mguu wangu huku nimeushika[emoji4]

Yule jamaa kuna siku sikwenda shule, ile keshoyake nimeenda nikaambiwa Mwambene alikuwa anakutafuta[emoji38],niliogopa mno..
Hatujakaa sawa nashangaa anakuja mwalimu kwenye kipindi, akasema wewe unatafutwa na Mwambene akupe zawadi yako[emoji847],kale kafeeling(Walimpa kazi ya kutunga pre necta yetu form 4 hiyo)...kumbe niliua kapaper kake ka geog aliyokuwa ametupa+Arrangement ya kazi na mwandiko akapagawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…