Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ndio waone sasa jinsi ilivyo rahisi ngamia kupenya kwenye tundu la sindano kuliko HS kuweka selfie[emoji38].
Hivi bado watu hawaoni tu kama kujitoa mimi jf haiwezekani!
Hivyohivyo HS kuweka picha yake.
Tuendelee kumtazamia Bwana wapendwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe upo kama Mimi, napenda zaidi mkavu.Angenishinda kwa sababu ya mchuzi, ila akiwa mkavu; unafanya kunitengea wawili kabisa
Ndiyo ndiyoKwa hiyo siku nikiselfika, utakuwa tayari kujitoa eeh?
[emoji1635]Ubarikiwe mjukuu, see you next time.
Ila hizi ID jamani; na humu ndani uwe unaniamkia kama huku nje.Ambition Plus.View attachment 2007892
Kwa kweli nitajitahidiJitahidi kula ndizi sana na maparachichi ndugu mwanafunzi[emoji38][emoji38]
Ni kweli kabisa.[emoji1787][emoji1787] wanasema dar ukiwa na pesa uwezi ona joto. afu nimekumbuka unarudi lini nikipe i12 zako
[emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Hee!Hahaha!nshawekaga hivi wajua akaunti yako nlisahau password na e-mail?! Nimefungua mpya ndo hii
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
Kumbe upo kama Mimi, napenda zaidi mkavu.
Unataka kuniambia unauwezo wa kumaliza kuku wawili? Ukiweza kumaliza utachagua zawadi yeyote nikupe[emoji12]
Ndiyo ndiyo
Dela zuri saana.#reflecting [emoji57][emoji57]
View attachment 2016512
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaahMada ipi Kati ya hizi?View attachment 2016514
Jana ulishindwa kunijoin kugonga glass pale City Pub rafiki[emoji1635]
Ungenibebea unga wangu kwanza ningekuja tunywe mpaka asubuhi [emoji16]Jana ulishindwa kunijoin kugonga glass pale City Pub rafiki
Usijali, let's make arrangement. Next Month nitakuwa huko tena.Tusitumie mate na wino ungalipo; weka vyuku viwili mezani then uniandalie na zawadi yangu
Hahahaha.......na ungekunywa Jana hadi ushindwe kutembea manake nilikuwa nimetoka kuuza Mpunga wangu kwa bei ya Christmas 😀💪Ungenibebea unga wangu kwanza ningekuja tunywe mpaka asubuhi [emoji16]
Nipo tayari[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jiandae kuimiss JF. Namaanisha