bhachu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 8,734
- 10,345
Day well spent
View attachment 2014389
Pisi Kali
Day well spent
View attachment 2014389
Eli79 huna picha kweli?Sijapata bado!
Eli79 huna picha kweli?
acha ukorofi! Kuna Ke nimemkopa namkimbia we unanichomea tena?Tuone basi kidevu Eli79acha ukorofi! Kuna Ke nimemkopa namkimbia we unanichomea tena?

Abeeeee!!!acha ukorofi! Kuna Ke nimemkopa namkimbia we unanichomea tena?
Shem unamuona huyu anafukua? Nadaiwa 500k namkimbia mtu yeye anafukua..

Shem unamuona huyu anafukua? Nadaiwa 500k namkimbia mtu yeye anafukua..![]()


Shem unamuona huyu anafukua? Nadaiwa 500k namkimbia mtu yeye anafukua..![]()






Hizi tarehe hata salam naogopa kuitika
Na tarehe hizi zilivyokaa hovyo sasa? Itakuwaje Shem?
Sitaki kesi mimi.. Weekend hii dhamana tutatoa wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app


, hakuna dhamana hadi j3 shem, nitapambana na hali yanguHuo sasa ni ukorofi! Nitamrudisha, ngoja nimalizane na madeni kwanza..
Nitaacha ukimrudisha shwazniga kwenye avatar![]()
Hizi tarehe hata salam naogopa kuitika, hakuna dhamana hadi j3 shem, nitapambana na hali yangu







Selfika basiHuo sasa ni ukorofi! Nitamrudisha, ngoja nimalizane na madeni kwanza..
My apology dear🙏Nibebee unga mkuu.
Debe 2 tu.
City pub wewe kunywa tu,
Ungenitafuta mapema labda,ila siyo kama hivi kwa alternative option.
Sawa mkuuMy apology dear
Mambo ya City pub yakafanya nishindwe kuingia JF tangu Jana
Kama hautajali tunaweza kuwasiliana next time. Next Month nitarudi tena, nimeanza maandalizi ya Mashamba ya Mpunga huko![]()
