Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Akawaita afande wa 2 naye wa 3. Bhana bhana nilichokipata sku hiyo stasahau had sku naingia shimon mazima,
Nmetoka hapo nko hoi, nanuka ki mait mait tyuuh, [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji16][emoji3]!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] my wiii, iv una nn wee lakn?
Wenzako tunalalamikiwa rangi zetu za baridi yaan msuguano had nusu itoke ngozi bado tyuuh, sasa rangi za aggrey zina moto hataree, yaan kugusa tyuuh "pwaaaah" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka wakati nakujibu 🤣🤣🤣

We mtoto rudisha simu kwa baba 😂

Whozu ashtakiwe jamani.
 
Level zote nimepiga matukio Ila Nipo calm
So walikuwa wanakamatwa wengine mi naachwa

Primary niliiba mapera mwenye shamba akatudaka tumefikishwa shuleni nikaambiwa niende darasani wenzangu wakatembezewa fimbo za kutosha

O level tulikamatwa na konyagi mi nikanuswa sikuwa na harufu wenzangu wakala suspension

A Level nilikuwa navuka kuchaji simu nikikutana na mwalimu sikimbii namwambia tu najisikia vibaya nafuata dawa pharmacy ananiacha


Nna matukio makubwa nikiweka hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba app ya Snapchat huijui? [emoji23][emoji23]

Ndio nimeshtuka sahivi kumbe pic haina emoji [emoji23][emoji23]
I mean umeutendea haki uzi
Umekwenda kama kichwa cha uzi kinavyosema"selfika na jf,snap it show it"

Picha bila emoj ndio ushujaa sasa tunaoutaka[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanz hata waana ajiriwaa sasa? Mbna wamejazan mtaan kibao wanazurura km majitu ya ki Bush man, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie nakerekwa San nkikumbka yaan 250k imeliwa iv iv,yule mbwa atailipia tyuuh pesa yangu haitaenda bureeeh,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Punguza hasira kidogo hahahaah.

Ndio mjini aiseeee poleeee
 
Back
Top Bottom