Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,767
- 22,041
Mbona huwasemi wauaji wasio na faida na wabambikaji kesi?Muuaji tu huyu na jambazi wa rasilimali za kongo
Mbona huwasemi wauaji wasio na faida na wabambikaji kesi?Muuaji tu huyu na jambazi wa rasilimali za kongo
🤔🤔🤔Mmmmh Kaka n we huyo ktk miaka hyo kweli....?Greetings y'all... One time in 1988, when I was setting off to work in my VolkswagenView attachment 2013716
Kumbe we mdogo wangu, hujui hata vocha tuliita dola?
Humjui wapi na wewe ni mke wa Ndugai.Utajikuta siku moja watoto wako wanakupa nickname bila wewe kufahamu,sisi mshua tulikuwa tunamuita Tyson kwa kutoa kibano.Inaonekana mimi na wewe tu ndio hatumjui.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Humjui wapi na wewe ni mke wa Ndugai.Utajikuta siku moja watoto wako wanakupa nickname bila wewe kufahamu,sisi mshua tulikuwa tunamuita Tyson kwa kutoa kibano.
Mkuu, unaishi uzunguni right???
Niliwahi ishi hiyo mitaa miaka ya nyuma kidogo hapo Loleza kwa hiyo napafahamu vizuri mno hapo mjini na viunga vyake vyote.Mkuu, unaishi uzunguni right???
Dah nimemiss kubana nywele.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alaah weUkifika Mbeya jitahidi upite hapo keepleft.
Vinginevyo we unakuwa haujapita Mbeya[emoji16]
20+ , birthday ang soon, 17/12.[emoji7][emoji7]Umefikisha 20 lini?
Unatoka andaeitini na husemi[emoji3],si tungekupa zawadi sasa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Greetings y'all... One time in 1988, when I was setting off to work in my VolkswagenView attachment 2013716
Kumbe ulikuwa rufaa tu hapa.Niliwahi ishi hiyo mitaa miaka ya nyuma kidogo hapo Loleza kwa hiyo napafahamu vizuri mno hapo mjini na viunga vyake vyote.
Kwa hela gani niliyonayo niishi uzunguni?
Nilikuwa na issues zangu tu huko hapo Rufaa,ndio nikatembea hadi Retco maana nilitaka kupita pia Babito.View attachment 2014063
[emoji23][emoji23][emoji23] unahitim 4m 4 mie npo std 4,jaman lol[emoji16][emoji16][emoji16]Aya bhana