Anza kusuka,mie nabana tu kwasasa,nilizoea kusuka bure[emoji41]Dah nimemiss kubana nywele.
Sijui nianze tena kusuka[emoji848]ili niwe nakibana kipilipili changu kinachofanania na katani.
Ndiyo mkuu..Kumbe ulikuwa rufaa tu hapa.
Siku nyingine tushtuane bhn
Nimekosa bahati ya kuonana na mtoto mzuri iviivi
kwanini unataka kuonana na mdogo wangu kimyakimya bila sisi mabraza kujua?Kumbe ulikuwa rufaa tu hapa.
Siku nyingine tushtuane bhn
Nimekosa bahati ya kuonana na mtoto mzuri iviivi
MmmmmmmhUpaja huo dahh!!
Sina mpango wa kufuga nywele tena.Anza kusuka,mie nabana tu kwasasa,nilizoea kusuka bure[emoji41]
Huku nilipo kusuka na pesa na hili joto nywele siku mbili hazina hali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwanini unataka kuonana na mdogo wangu kimyakimya bila sisi mabraza kujua?
Vipi tena kakaMmmmmmmh
________?Sina mpango wa kufuga nywele tena.
Natimiza 22yrs soon, hujaona alama ya + hapo? Wee mie mzee acha kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ndio unafika 20 eeh!
Dah miaka inasogea[emoji23]
Hapa nipo nafumua zile nywele nilisuka,tayari kwa safari ya kwenda kunyoa[emoji16]________?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kipulefuti, khaaahWanyakyusa wanakiita kipulefuti
Ndio hicho hicho Mbeya nzima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo jumlisha mbwembwe tu.Natimiza 22yrs soon, hujaona alama ya + hapo? Wee mie mzee acha kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23]
Mi zangu naona ni zile za Chand sijui[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23] calculations tupu, mbavu zangu mie
Sasa sjui n 4m 4 au 4m 6,mweeeeeehView attachment 2014073
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]weeeehHapa nipo nafumua zile nywele nilisuka,tayari kwa safari ya kwenda kunyoa[emoji16]View attachment 2014093
Mbeya nilipita last month kuelekea tunduma na kuibukia kwa Dlamini then sasa hivi nipo kwa beberu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi upo Mbeya?
Wenyewe wanaitaga malezi ya kizungu😂[emoji15][emoji15][emoji15]View attachment 2014118
Mhala sanaVipi tena kaka