Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa we kwanini ulikuwa unaleta utukutu na unajua ukigusa computer ni kesi???

Ila bongo bana....
I bet kama mlikuwa na TV basi ilikuwa na kakabati kake [emoji38][emoji38]
Tv ilikuwa ka msereleko,,,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukiwa unataka kugusa computer kuna ka roho kanasema "kwanza kaenda mjini harudi sasa hv"
[emoji23][emoji23]
 
Kichapo ambacho angekula huyu hapa bongo ,angejiuliza mara mbili mbili kama huyu ni mama Mzazi kweli au baba yangu kweli [emoji28][emoji28][emoji28]
Naambiwa huyo ni mamaake mzazi na ni mwathirika wa madawa ya kulevya
 
20211117_191953.jpg
 
Back
Top Bottom